MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,735
- 11,344
Kwa upande wa mama yangu tumezaliwa wawili tu yaani mimi na huyu mdogo wangu ila mama na mzee walishatangulia mbele za haki [mama kafariki nikiwa na miaka mi3 na mzee nikiwa na miaka 13 ]
huyu mdogo wangu Yeye yupo nyumbani anakaa na mama mkubwa ( step mother )
Sasa mimi ni Juzi tu nimemaliza chuo kwa mbinde sana mana nmejitegemea kila kitu miaka yote mitatu mpaka namaliza, sikuwa na wakumwelekezea shida zangu zozote ingawa kwa upande wa Baba tupo watoto... na sisi ndio wa mwisho na hawa ndugu zetu wote kila mtu ni mambo safi kweli ( kweli kutoa ni moyo 🥲)
Sasa huyu mdogo wangu kanitumia Hii meseji nimepatwa na stress sana wakati ni Juzi tu nmeongea na huyu mama mkubwa wangu tukakubaliana kuwa atampeleka mdogo wangu chuo ila ntakua nampa back up kwa vitu vidogo vidogo kama matumizi ya apa na pale.
Mimi saiv ndo nmeanza biashara bado hata sijafikia ile level ambayo nimejiwekea malengo nifikie lakini nakumbana na majukumu mazito kama haya.
Binafsi apa nilkua napambana nipate hela niingie Law school mwezi July lakini izo dalili naona kabisa zikififia🥲
Kinachoniuma ni mdogo wangu af ni mtoto wa kike na tumezaliwa wawili tu, Naombeni ushauri nifanye nini ili nijue namjibu vp huyu mdogo wangu in a positive way

Watanzania bana