Naombeni ushauri kuhusu huyu binti.

Come down
kijana amependa na anapenda kuchunwa
pale kwenye mvuto pamefanya nikumbuke post ya jana ya mtambuzi
khaaa! niambie tu kwamba wewe sio ndugu yangu manake real ningekutia mabao ya usoni. ushaambiwa kabisa kwamba hupendwi so what unataka nini tena? ama ndo uchunwe hadi urith kama alivyosema boss?
 
Last edited by a moderator:
Una miaka mingapi? Huyu ni GF ukifika mda umekuwa wataka kuoa tafuta mke, we love these women, they are good people, but we should leave a place in our heart for our own thinking and judgement, love with the heart but decide with your brain!


 
Daaaaaah! Hivi yan hata picha huoni? Huyo ni mchunaji tu!

Hapo kwenye mvuto nimecheka sana na huyo mwanamke naona kakupotezea confidence kabisa.

Mbona unashindwa kumuuliza kama sasa hivi ameona mvuto au lah!

Kimbia kabisa
 
Dah jamaa sasa hapo unaomba ushauri na wakati kila kitu kipo wazi kuwa huna chako. Kaa tafuta maisha ndugu yangu mwanamke mwema utampata tu huyo bado anahangaika na dunia. Pia usiwe ni mhongaji kwa mwanamke..utaadhirika.
 
Come down
kijana amependa na anapenda kuchunwa
pale kwenye mvuto pamefanya nikumbuke post ya jana ya mtambuzi

yaani rutta lol! wanangu na wakue waje wajionee haya lol! ila aisee bora niwafundishe vidume vyangu kuwa mabazazi tu waanze kuwa mimba waschana toka shule ya msingi basi nijue hawatanisumbua kwa ishu kama hizi lol!
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapa unaomba ushauri wa nini na tayari umeshaamua kumbe?

Mkuu nahisi Perry bado sitaki nataka ndiyo maana anaomba ushauri. Kama huyo binti angempigia cmu na kumwambia kuwa anampenda,dhahiri ni kwamba angerudisha majeshi ndiyo maana anaomba ushauri..au % kubwa hapa ingemshauri amrudie naamini angemrudia kana kwamba yeye haoni kama amegeuzwa ATM.
 
...ameshasema hakutaki kaa chonjo...

Mkuu umenikumbusha wimbo wa zamani sana!watu wengine huwa wanajitafutia ugonjwa wa moyo wenyewe sometimes kuna maamuzi hayatakiwi kuusikiliza moyo wala kile kichwa kingine
 
yaani rutta lol! wanangu na wakue waje wajionee haya lol! ila aisee bora niwafundishe vidume vyangu kuwa mabazazi tu waanze kuwa mimba waschana toka shule ya msingi basi nijue hawatanisumbua kwa ishu kama hizi lol!

Umenikumbusha nyimbo ya Jide..'wanaume kama..'
Wafundishe wanao dadaangu gfsonwin labda watarudisha heshima ya uanamume..
 
Last edited by a moderator:
Atakuwa amedoda huyo ktk soko la malavidavi.
 
Kaka na wewe umezidi ubwege nani alikuambia vijisent ndio kumvutia binti? Toa vijisent ili wajanja waendelee kushaini mjini
 
Umenikumbusha nyimbo ya Jide..'wanaume kama..'
Wafundishe wanao dadaangu gfsonwin labda watarudisha heshima ya uanamume..

yaani SnowBall Mungu kanipa vidume 4 bora tu nivifundishe kurusha maji vibinti wanavyosoma navyo basi tu nijue moja manake wanaume wa siku hizi lol! bado tu kuwavesha shanga aisee. mimi klein wangu japo miaka 15 lakini anajua kumwaga swanga na kung'amua kama hapa ni changa la macho ama la. na sheria niliyompaa ni afadhali amtie mtu mimba kuliko nisikie kapigana na mwanaume mwenzie kisa mwanamke. yaani ikija kesi kammimba mtu kwangu poa ila eti kapigana kisa mwanamke yaani atachezea lupango sina mzaha katik hili.

wanawake wote hao halafu akapigane aisee atanikoma.
 
Last edited by a moderator:
changanya vizuri acid hiyo, ila tuu usinywe
 
The Boss leo una vigongo.........

Jamaa anataka kuchunwa huyu, mwache akakitafute kiranga chake......



duh...
ukisikia babu jinga ndo wewe....

umsome nini hapo tena
shukuru yameisha,move on...
au unataka uchunwe mpaka urithi ????
 
Last edited by a moderator:
Uongee nae, inawezekana moyo wake sasa umeshakupenda ila anashindwa kusema.
 
thanx mkuu,me niliisha amua kumpotezea siku nyingi.

Kwa kuwa umeshaamua kuachana naye na kwa kuwa bado anakufanya babu jinga chambilecho The boss, mlete tumle mtungo!! (natania mkuu siku hizi mvua 30 inakusubiri)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…