Naombeni ushauri kuhusu binti huyu

Naombeni ushauri kuhusu binti huyu

Mr Fan

Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
74
Reaction score
133
Wakuu habarini,

Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.

Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!

Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.

Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
 
Mimi nilipiga chini tena na posa nilikuwa nimeushatoa.....nilimchunguza binti kwanza sio bikra pili anagongwa na jamaa tena nyumbani kwao, mimi nikumuambia aje kunitembelea nyumbani kwangu tu akawa anatia ngumu eti wazazi hawamruhusu😂😂 nikaona hapa nauziwa mbuzi kwenye gunia
 
Wakuu habarini,

Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.

Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!

Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.

Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Copy that....requesting the direction...Over....the team has lost the direction
 
Wakuu habarini,

Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.

Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!

Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.

Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Unatuzingua hapa,miaka ya karibuni hakuna mwanaume wa ivyo labda pekee yako.tuko na world cup

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Yupo mwamba anaemgonga sana tu. Maana usije ukategemea utaikuta bikira hapo
Mkuu s kwamba hatujawahi kukutana na romance pamoja na kuchezeana ni sana ila shida inakuja kuanza kuchakata anaogopa sana ila nilivomchunguza n bikra mkuu.... japo nina waswas maana bikra huwez kupima kwa macho tu mpka mfanye hilo tendo
 
Hivi mtu anaanzaje kukuambia sex mpaka ndoa, au mwanaume unaanzaje kuomba sex kwa mwanamke?

Mwanaume tengeneza mazingira ya yeye kukutaka, na ukiona hakupendi achana naye.
 
Wakuu habarini,

Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.

Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!

Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.

Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?
Tamaa zako za mwili nani anazitatua na tamaa zake za kimwili nani anazitimiza kwa miaka yote mitatu? Mimi kama mimi siwezi kuwa na demu nakaa naye zaidi ya week mbili bila kumchakata, hizi juhudi za uvumilivu huwa mnazipata wapi?????
 
Agiza Pepsi barid kabisa hapo nakuja kulipia ........ata me week mbili zikipita nafukuzia sijachakata ua naacha kabisa naendelea na taratibu zingne
 
Demu alishamuona jamaa ni shosti ake hawezu kula mzigo huo, alafu mazoea na manzi kwa muda wote huo dah, me roho huwa inauma pale wana wanajua unakula kumbe unashika mapembe miaka mitatu.
 
Mkuu s kwamba hatujawahi kukutana na romance pamoja na kuchezeana ni sana ila shida inakuja kuanza kuchakata anaogopa sana ila nilivomchunguza n bikra mkuu.... japo nina waswas maana bikra huwez kupima kwa macho tu mpka mfanye hilo tendo
Miaka 27 awe na bikra acha ujinga
Siku hizi wakifikisha miaka 17 bikra zinatoka zenyewe
 
Wakuu habarini,

Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.

Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga. Kinachonichanganya huyu binti niko naye kwenye mahusiano tangu 2016 ila mpaka leo hajawahi kunipa mbususu!

Kila nikimwomba anadai nimuoe kwanza, sasa si kwamba hatujawahi kukutana ila tulishakutana mara nying sana japo sijawahi kufanyanaye mapenzi. Japo pia ananilalamikia sana simhudumii kama mke wake, anataka niwe natoa matumizi kama nampenda na ukiangalia kunipa mbususu anakuwa mbishi sana. Ni binti mkubwa tu miaka yake 27.

Sasa nipeni ushauri wadau, vipi hapa nisubri mpaka ndoa na niendelee kuhudumia?

Hemu mcheki Mama yako kwa ushauri maana anajua mazaifu yako atakushauri vizuri, Lazima Kuna matatizo unayo.
 
Mkuu s kwamba hatujawahi kukutana na romance pamoja na kuchezeana ni sana ila shida inakuja kuanza kuchakata anaogopa sana ila nilivomchunguza n bikra mkuu.... japo nina waswas maana bikra huwez kupima kwa macho tu mpka mfanye hilo tendo
Hapo hakuna bikra, demu yoyote kama hana hisia na wewe huwezi kuingiza ata kidole, lakini akienda kwa wakulungwa uchi unatanuka kama beseni ukitoa vilainishi vya kutosha, we endelea na ubwege wako.
 
Back
Top Bottom