Naombeni ushauri kama nimetapeliwa au la

simkangasteven

New Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
3
Reaction score
3
Nina madogo zangu wawili wanataka kujiunga na JWTZ, sasa nimetozwa 15,000 ya fomu kila mmoja, 18,000 ya usajili kila mmoja, sasa hivi naambiwa inatakiwa 80,000 kila mmoja gate pass. Hivi ni sahihi au napigwa na kitu kizito?

Kibaya zaidi hela natuma kwenye namba yake huyo mtu

Naombeni majibu ndugu zangu, maana hali ya uchumi ni mbaya mtaani halafu hela ndio zinaaenda
 
Nina madogo zangu wawili wanataka kukiunga na JWTZ, sasa nimetozwa 15,000 ya fomu kila mmoja,,18,000 ya usajili kila mmoja,saiz naambiwa inatakiwa 80,000 kila mmoja gate pass,,hv ni sahihi au napigwa na kitu kizito,,kibaya zaidi hela natuma kwenye namba yake ,,uyo mtu ,,naombeni majibu ndugu zangu,,mana hali ya uchumi ni mbaya mtaan alaf hela ndo zinaaenda
Anua jamvi.. Umeshapigwa tayari.. Hakuna kitu kama hicho jeshini
 
Nina madogo zangu wawili wanataka kukiunga na JWTZ, sasa nimetozwa 15,000 ya fomu kila mmoja,,18,000 ya usajili kila mmoja,saiz naambiwa inatakiwa 80,000 kila mmoja gate pass,,hv ni sahihi au napigwa na kitu kizito,,kibaya zaidi hela natuma kwenye namba yake ,,uyo mtu ,,naombeni majibu ndugu zangu,,mana hali ya uchumi ni mbaya mtaan alaf hela ndo zinaaenda
NAKUJIBU KAMA IFUATAVYO

Hiyo hela umetapeliwa kwa vigezo vifuatavyo

1: Hakuna uandikishaji wa kuruta kwa ajili ya depo mpya(kuna depo ipo inaendeshwa lakini ilishasajiliwa na watu walishapimwa, kukaguliwa vyeti na walishaanza mafunzo zaidi ya miezi miwili sasa)

2:Jwtz hawana utaratibu wa get pass ile sio shirika la mkonge askari wana vitambulisho na Kama ni msahiliwa huhitaji kitambulisho.

3: usahili wa jeshi haufanywi wala haujazishwi fomu ni vipimo vya Afya,utendaji wa mwili, vyeti,fomu watajaza wanaokufanyia usahili sio Wewe.

4:HAKUNA NJIA YA KUJIUNGA NA JESHI BILA KUFANYA MAFUNZO YAO, HAKUNA NA HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU KUANZISHWA KWA JWTZ
 
Nina madogo zangu wawili wanataka kukiunga na JWTZ, sasa nimetozwa 15,000 ya fomu kila mmoja,,18,000 ya usajili kila mmoja,saiz naambiwa inatakiwa 80,000 kila mmoja gate pass,,hv ni sahihi au napigwa na kitu kizito,,kibaya zaidi hela natuma kwenye namba yake ,,uyo mtu ,,naombeni majibu ndugu zangu,,mana hali ya uchumi ni mbaya mtaan alaf hela ndo zinaaenda
wewe katichi kulichii?
 
Unamtumia nani? 😅😅
 
Daaah pole sana shehe wangu hio hela bora tu ungewapa wanunue mitumba karume watembeze wakat unasubiri Mungu ufungue riziki zingne
 
Nina madogo zangu wawili wanataka kukiunga na JWTZ, sasa nimetozwa 15,000 ya fomu kila mmoja,,18,000 ya usajili kila mmoja,saiz naambiwa inatakiwa 80,000 kila mmoja gate pass,,hv ni sahihi au napigwa na kitu kizito,,kibaya zaidi hela natuma kwenye namba yake ,,uyo mtu ,,naombeni majibu ndugu zangu,,mana hali ya uchumi ni mbaya mtaan alaf hela ndo zinaaenda
Hapo bado hujamalizana na hao maafande. Utaletewa mahitaji mpaka ujute kuwafahamu. Na kila muda watakushinikiza utume hela haraka ili hao wadogo zako wasije wakaondolewa kwenye hayo mafunzo.
 
Umepigwa!
Vijana mpaka sasa wako RTS wanakula mavitu muda sana!
Jeshi halitozi pesa za hayo mambo uliyoyataja. Umechangia matapeli wakale bata!
 
Nina madogo zangu wawili wanataka kukiunga na JWTZ, sasa nimetozwa 15,000 ya fomu kila mmoja,,18,000 ya usajili kila mmoja,saiz naambiwa inatakiwa 80,000 kila mmoja gate pass,,hv ni sahihi au napigwa na kitu kizito,,kibaya zaidi hela natuma kwenye namba yake ,,uyo mtu ,,naombeni majibu ndugu zangu,,mana hali ya uchumi ni mbaya mtaan alaf hela ndo zinaaenda
Ndio maana matapeli hawaishi kwasababu ya watu kama nyinyi.
 
Back
Top Bottom