Naombeni ushauri kaka na dada zangu

Huyo mwanamke hakupendi na wala hakuheshimu,kitendo cha kukutumia screen shot ya chat zake na wanaume wengine ndio kingehitimisha mahusiano yenu,

Achana nae,weka akili yako kwenye masomo,kwa umri wako inawezekana kabisa kua huyo ndio mwanamke wa kwanza kwako kupendana nae na ndio maana unaumia,

A bright future is waiting for you,u just have to open your eyes,just focus mambo yako ya masomo.
 
Ila vijana wa sasa hivi sijui huko shule mnasomea nini, yaani kila kitu ni ushauri tu, hata vingine vya kuamua mwenyewe, mapenzi siyo uwezo au pesa, kwanza ni upendo mengine yanafywata.

Kiujumla huyo binti hayuko tayali kuolewa na wewe, yuko kimaslai zaidi kwa uzuri wake
 
Yanini kuharakia maisha? Bado umri wako ni mdogo na unahitaji muda zaidi wa kujijenga kimaisha na kuisaidia familia yako, mapenzi yalikuwepo na yataendelea kuwepo mdogo wangu. Tafuta hela kwanza, mke huwa anakuja automatically na kwa wakati ulio sahihi
 
Kama hajakuelewa wewe hatomuelewa mtu mwengine yeyote
 
Kutokana na maelezo yako inaonesha huyo mwanamke sio wife material ila ni mtu mwenye tamaa ya maisha...anatamani vya waliofanikiwa. Mwache aende lkn mpe muda kama ataweza hiyo ndoa mm nimekaa pale[emoji117]

Pili ww acha tamaa ya fisi.. mtaka mawili kwa pupa hukosa yote na mshika mawili Moja humponyoka. Focus na maisha Yako...ndoa ipo tu lakini maisha yakiharibika ndio basi tena. Huyo mwanamke atakukosesha masomo Kisha atakuja kukuacha utakapoharibikiwa maisha.
Focus ahead brother!
 
Na kama hajawahi kupiga apige kwanza kisha ndo amwambie hivyo, asiache aende hivi hivi.
 
Heeee! Tutakuonea huruma tu mdogo wetu. Cha msingi, focus on your studies na ujenge maisha yako. Siuoni mwisho mwema katika hayo mahusiano. All those red flags 🚩 you shouldn’t ignore 😅, she is out of your league.
 
Umemaliza mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…