Naombeni ushauri juu ya line za uwakala

Naombeni ushauri juu ya line za uwakala

said sabari

Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
26
Reaction score
32
Wakuu naomba mwenye uelewa mzuri na hizi line za tigo pesa au mpesa nk anieleweshe vizuri akitokea mtu anataka kuniuzia ni jinsi gani ya kuijua ufanyaji wake wa kazi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom