happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Cha msingi nikumuuliza yeye kwanza sababu ya msingi ni nini kutaka kuoana haraka hivyoNaomben ushaur kwenye hili...
Mi nimama wa mtoto / single mama nina 30yrs
Naomben ushauri kuna baba ana 38yrs anataka kunioa anawatoto wakiume 2 mmoja na 11yrs mwingine 8yrs...
Kilichofanya niombe ushauri jamaa hana hisia na Mimi na Mimi pia yaan sina hisia nae yaan tumekutana tu yeye anashida na kuoa nami naitaji kuolewa basi lkn hata mapenz hakuna kabisa maana tunaweza maliza hata wk hatuja wasiliana...
Napata wakati mgum sababu jamaa anaharaka sana anadai watoto wake hawana mlezi na anapata shida akitaka kusafir maana ni mfanya biashara,, Mimi nimemwambia angalau tupeane mda tusomane kwanza haelewi kabisa imagine tumefahamiana tuna mwez 1.. Lkn anataka tuanze process za utambulisho...
Aliachana na mke wake wa ndoa 2yrs ago na mke wake alishaolewa kwingine na hajulikan hata yuko wapi na alifunga ndoa ya kikristo..naomben ushauri nifanyeje?
Olewa mlee watoto, mapenzi mtapendania hukohuko Kwanza mapenzi yenyewe yako wapi bibie??
Sikuhizi unaolewa kutimiza wajibu Raha unajipa mwenyewe!
Tena kwa umri huo!! Bahati hiyo jishaue tu!
Ameshamjibu kuwa Watoto wanakosa Malezi au hujasoma vizuri.. Pia na Huyu Bi dada anataka kuolewa pia kwa hiyo wamekutana wote wakiwa na uchu wa ndoa sema Mdada hana haraka kihivyo ila Mkaka hataki kuchelewaCha msingi nikumuuliza yeye kwanza sababu ya msingi ni nini kutaka kuoana haraka hivyo
Naomben ushaur kwenye hili...
Mi nimama wa mtoto / single mama nina 30yrs
Naomben ushauri kuna baba ana 38yrs anataka kunioa anawatoto wakiume 2 mmoja na 11yrs mwingine 8yrs...
Kilichofanya niombe ushauri jamaa hana hisia na Mimi na Mimi pia yaan sina hisia nae yaan tumekutana tu yeye anashida na kuoa nami naitaji kuolewa basi lkn hata mapenz hakuna kabisa maana tunaweza maliza hata wk hatuja wasiliana...
Napata wakati mgum sababu jamaa anaharaka sana anadai watoto wake hawana mlezi na anapata shida akitaka kusafir maana ni mfanya biashara,, Mimi nimemwambia angalau tupeane mda tusomane kwanza haelewi kabisa imagine tumefahamiana tuna mwez 1.. Lkn anataka tuanze process za utambulisho...
Aliachana na mke wake wa ndoa 2yrs ago na mke wake alishaolewa kwingine na hajulikan hata yuko wapi na alifunga ndoa ya kikristo..naomben ushauri nifanyeje?
Cha msingi nikumuuliza yeye kwanza sababu ya msingi ni nini kutaka kuoana haraka hivyo
Anatafuta trustees minder for his boys na ndoa ni kama guarantee mpendwa Mimi pia niko single lakini bado ninachagua
Heart wants what it wantsMajibu unayo kabisa
wewe huna hisia na yeye hana hisia
but cha ajabu unataka tukushauri