Naombeni ushauri juu ya huyu mchumba

Naombeni ushauri juu ya huyu mchumba

Huyu Dada Maneno yakutokayo Mdomoni na Sura yako ilivyo ni vitu viwili tofauti.. Ila Ukisemacho kinaendana kabisa na Signature yako.. Upo Complicated

Mimi Kuremba siwezi huo ndio uhalisia.
Mapenzi?
Ana miaka 30 na anamtoto
Hana mchumba wala mwanaume anayemtangazia ndoa zaidi ya huyo
Aolewe tu kustirika
Umri wake hauruhusu
 
Mmh kama ni mkristo Embu jaribu kufunga na kuomba kwa muda wa week 1.
Naamin ukitoka hapo utakua umepata jibu, mambo mengine msikilize roho mtakatifu
Atashinda na njaa bule..hekima na utashi alishaumbiwa toka MUNGU kamleta duniani na akampa akili ila hajajua kuitumia,muache akome
 
Mimi Kuremba siwezi huo ndio uhalisia.
Mapenzi?
Ana miaka 30 na anamtoto
Hana mchumba wala mwanaume anayemtangazia ndoa zaidi ya huyo
Aolewe tu kustirika
Umri wake hauruhusu
Mpaka Mwanaume Anakuja Kwenu Kukutolea Mahari Ujue Amekupenda Sasa Namshangaa Huyu Dada Eti Mwanaume Hana Hisia Naye Sasa Kama Hana Hisia Naye Asingemtangazia Ndoa
 
Hata Kama Dada yangu, Huyu Mama ana mtoto mbali na kuwa na umri wa miaka 30 lakini hajajibu upande wake wa Mahusiano yake na baba wa huyo Mtoto.... Huyu baba ana miaka 38 wakati Mtoto wake wa kwanza ana miaka 11 hence mtoto alimpata akiwa na miaka 28 Je ni Mama huyo huyo au? Tatu ameachana na Huyo mama miaka miwili iliyopita, Walikuwa wameoana tena kwa Kanisani, Hata kama niuchu wa kuolewa 2 Years inaweza kuwa siyo kweli ila kwa kuwa Mshikaji anapata shida ya Malezi ndiyo sababu.

Bidada anahaja yakujiridhisha kwanza Kabla ya Kuingiza wowo yake yote huko. Mbaya zaidi wote hawana Hisia ... Si baba wala Huyu Mama tena ni Mwezi Mmoja toka wawe kwenye Mahusiano lakini according kwa Bidada anasema wanaweza kukaa hata wiki bila kuwasiliana. Ila kwa inavyoonekana wameshagegedana sana.

Labda bidia Happy Amos atueleweshe hayo maongezi ya kwenda kujitambulisha au kuwasiliana na kuongea juu ya Ndoa wanayaongeaji wakati wanaweza kukaa wiki nzima bila kuwasiliana na wana Just Mwezi Mzima tu kwenye mahusiano?

Bi Dada kuna kitu amekificha ili tumpe ushauri wa Ukweli Awe Muwazi la sivyo atakuja na Mrejesho hapa wa Kilio.
 
Wacha kujiletea stress zaid
Sio lazima kuolewa au kuoa
Una bahati uliwah kuolewa mahali
 
Mpaka Mwanaume Anakuja Kwenu Kukutolea Mahari Ujue Amekupenda Sasa Namshangaa Huyu Dada Eti Mwanaume Hana Hisia Naye Sasa Kama Hana Hisia Naye Asingemtangazia Ndoa

Anataka wale wakubebishana kila siku labda kwake ndio wenye mapenzi!
Aendelee kusaka tu hisia akija kushtuka 38 40 inamgongea ndio atajua kama donati nayo ni Andazi
 
Olewa mlee watoto, mapenzi mtapendania hukohuko Kwanza mapenzi yenyewe yako wapi bibie??
Sikuhizi unaolewa kutimiza wajibu Raha unajipa mwenyewe!
Tena kwa umri huo!! Bahati hiyo jishaue tu!
Hahahaah

Si kwa kuchangamkia fursa shogangu lol.. Waoaji wachache sana sikuhiz

Cc Smart911
 
Ndoa sio sehemu ya kufanya majaribio tafakari usije kujutia
 
Hata Kama Dada yangu, Huyu Mama ana mtoto mbali na kuwa na umri wa miaka 30 lakini hajajibu upande wake wa Mahusiano yake na baba wa huyo Mtoto.... Huyu baba ana miaka 38 wakati Mtoto wake wa kwanza ana miaka 11 hence mtoto alimpata akiwa na miaka 28 Je ni Mama huyo huyo au? Tatu ameachana na Huyo mama miaka miwili iliyopita, Walikuwa wameoana tena kwa Kanisani, Hata kama niuchu wa kuolewa 2 Years inaweza kuwa siyo kweli ila kwa kuwa Mshikaji anapata shida ya Malezi ndiyo sababu.

Bidada anahaja yakujiridhisha kwanza Kabla ya Kuingiza wowo yake yote huko. Mbaya zaidi wote hawana Hisia ... Si baba wala Huyu Mama tena ni Mwezi Mmoja toka wawe kwenye Mahusiano lakini according kwa Bidada anasema wanaweza kukaa hata wiki bila kuwasiliana. Ila kwa inavyoonekana wameshagegedana sana.

Labda bidia Happy Amos atueleweshe hayo maongezi ya kwenda kujitambulisha au kuwasiliana na kuongea juu ya Ndoa wanayaongeaji wakati wanaweza kukaa wiki nzima bila kuwasiliana na wana Just Mwezi Mzima tu kwenye mahusiano?

Bi Dada kuna kitu amekificha ili tumpe ushauri wa Ukweli Awe Muwazi la sivyo atakuja na Mrejesho hapa wa Kilio.

Mimi nimeelewa huyo mwanamke aliyeachana na Bwana ameolewa tayari ndoa yakanisani... hivyo hata wao wanaweza kufunga pia

Wanaweza kaa wiki bila kuwasiliana na wako kwenye mahusiano. mawasiliano ni jukumu la nani?
Au anataka mpaka aanzwe??
 
Due! Sijawahi kusex nae kabisa na kuonana tumeonana Mara 1 tu face tu face..... Jamaa anafahamiana na mama angu mdogo sio sana ila katika maongezi yao akamwambia nitafutie mwanamke nashida ya kuoa mamdogo ndio akampa namba akanitafuta bila Mimi kujua akaomba tuonane Mimi Niko busy sana Nina Duka hivyo mda mwingi nakua dukani akaja Dukan tukaongelea hayo...
 
Kama kila mmoja hana hisia na mwenzake sasa anakuoa ili ukawe Babysitter au wife?
 
Mimi nimeelewa huyo mwanamke aliyeachana na Bwana ameolewa tayari ndoa yakanisani... hivyo hata wao wanaweza kufunga pia

Wanaweza kaa wiki bila kuwasiliana na wako kwenye mahusiano. mawasiliano ni jukumu la nani?
Au anataka mpaka aanzwe??

Bidada Happy Amos hayupo muwazi, Ni Nani aliyeolewa kwa Ndoa ya Kilristo? Huyo Mke aliachana na Mume wake au Ndoa yao ilikuwa ya Kikristo?

Kiswahili si Lugha Nyepesi kama wanavyoielezea
 
Anataka wale wakubebishana kila siku labda kwake ndio wenye mapenzi!
Aendelee kusaka tu hisia akija kushtuka 38 40 inamgongea ndio atajua kama donati nayo ni Andazi
Ngoja ninyamaze tu maana haujaelewa hata kinachonipa utata...Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom