Sidhani hicho kama ni kigezo cha kupigwa second round maake kuna jamaa angu kafanya kama pc na alipata div 3 ya 13 tena pamoja na huo ufaulu aliomba vyuo kama UDISM ,UDOM, DUCE,SAUT akamaliza na MAKUMILA lakini jamaa kwenye profile yake kaandikiwa provessionally selected .Sasas wewe mkubwa kuwa na subira