Naombeni ushaur ndugu zangu

Bryan anderson

New Member
Apr 29, 2017
1
0
Nimemaliza masomo yangu nasomea coz ya science and laboratory technology kwa ngazi ya diploma. ...
Pia wazazi wabataka niache niamie nyngine nijaanze nayo upya coz ya clinical officer. .......
Sasa mm nifanyaje niendelee na hii yangu au niwafyate wazaz
6a24f0ee8e4d5877b6bfa8b18e911952.jpg
 
Duh! Sasa hivi hata usomee PHD ajira ni za shida... Kupata zali haitegemei sana ulichosomea, ni bahati tu... Ona BASHITE, japo hana vyeti ndio boss wa jiji hili... So we somea chochote tu, ila ni vizuri ukasomea kitu ambacho itakuwa rahisi hata kujiajiri mfano kozi za ufundi, au nenda pale chuo cha maji karibu na UD, ukasomee kozi za kutibu maji ambazo zinaendana na hiyo kozi ya lab technician...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom