Naombeni ushahuri nina laki saba nifanye biashara gani, maisha kusaidiana jamani,

Kama ni mkristo nenda kanisani ufanyiwe ungamo la dhambi toka rohoni halafu utoe sadaka fungu la kumi la hiyo laki saba halafu Mungu atakwambia ufanye nini !

Amini kuwa mshirika na Mungu katika kazi zako, Ubarikiwe.
yap imani inaendana sana na "malezi, mazingira na tabia" mkuu.
 
Najitahidi sana kupoteza hii dhana ya kutafuta wazo la biashara baada ya kupata fedha unazohisi zinakutosha kuanzisha kitu ni makosa mkuu hivyo unavyofanya na Jf sio sehemu ya kukupa wazo la biashara ila hapa ni sehemu ya kuliongezea nyama wazo lako la biashara kila mtu anawazo lake la biashara ambalo ameshalifanyia tathmini kwa uwezo wake na akili yake anaweza kulifanya ambalo ni tofauti na lako hata kama yakifanana sio kwamba utatuzi wake utakuwa sawa.

Wazo zuri la biashara linatoka kwako mwenyewe mkuu angalia nafasi na nini unakihitaji ni ngumu kwa dokta kuja kuanzisha biashara ya mama ntilie na akafanikiwa ipasavyo tumia sehemu zilizokaribu na wewe kupata wazo la biashara ambayo utaimudu kuna watu wanafanikiwa lakini walianza hata kwa mtaji wa 10,000 tu fedha nia nyongeza tu ila wazo lako mwenyewe na uendeshaji wake ndio biashara yenyewe kuna watu wanafanya kazi bila kuwa na fedha na wanafanikiwa

Unaweza kupitia pia baadhi ya uzi nimeshaweka kuhusiana na jinsi ya kupata wazo la biashara na pia kwenye blogu yangu ambayo nimeelezea zaidi.
 
Muone Iddi azan akupe dili za sembe,si unajua Tz ni sehemu salama sana kwa biashara ya sembe
 
Back
Top Bottom