nurdidy
Member
- Jan 1, 2014
- 42
- 44
Kwa wale wenye uzoefu na adsense ni kwamba unapokua umefanikiwa kukusanya kiwango fulani basi kuna taarifa za kiposta unatakiwa kujaza ili utumiwe PIN ya kuthibitisha anuani yako.Maswali yangu ni haya je ile sehemu ya address naijaza kama ilivyo sanduku langu la posta au kuna namba za kiunganishi mwanzo natakiwa kuzijaza kama vile 255? Naomba kujua pale kwenye address kwaajili ya kupata hiyo PIN tunajazaje