Naombeni ufafanuzi!

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
75,520
Reaction score
185,655
Habar wana jf!?

Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili bila kupata majibu! Kuna statement flani hivi nilisikia mtu akimwambia mdada huwa naifikiria kila siku ila sipati majibu yake sahihi!

Nahisi wanaume ndio mtakuwa na majibu yake sahihi.

Inasema hivi; always be a girl a man need, and not be a girl that need a man!!

Swali kuna tofauti gani kati ya hizi statements mbili? au ni qualities gani zilizopo kwa A GIRL A MAN NEED, na zipi zipo kwa A GIRL THAT NEED A MAN'' hadi kuwe na unyanyapaa wa hivyo?
 
Tofauti ni kuwa "Kibaya chajiuza na kizuri chajitembeza"!!
 

Uandishi wako unaonekana una umri mdogo sana
Na kwakuwa una umri mdogo uwezo wako wa kutafakari ni mdogo pia

A girl,a man need
Ni binti ambae anajiweka na kuwa na character ambazo wanaume wanazihitaji

A girl need a man
Kwa kifupi ni binti ambae yuko na njaa kubwa sana ya mwanaume
Yaani yeye hajali ni wa aina gani,yeye anasomba tu


Hizo ni tafsiri zangu za muda huu kabla sijala makande kama kifungua kinywa
Ngoja nikale kwanza makande na chai huenda akili yangu ikafunguka zaidi ......lol!

Hebu ngoja nikuitie huyu binti aje akusaidie zaidi Heaven on Earth hebu njoo kipande hii wengine hizi lugha za wakoloni zinatusumbua sana

Wabheja sana!
 
Last edited by a moderator:
ur wrong my frnd m not as young as u thnk! n sidhani kama hata m/ke awe na kiu kiac gan anaeza somba kigego, womanizer, mlev kupindukia n.k!
 
ni mtazamo wako tu eiyer n opinions r not fact so thnks kwa ufafanuz wako!
 
afu usiseme anaejiweka na characters sema mwenye characters by nature coz m/ke aneza pretend kuwa na k2 ilimrad ampate m/me flan bt ukishaingia kweny 18 zake imekula kwako! na jasiri haachi asili!
 
^^
Kwa lugha nyingine uwe mwanamke bora na sio bora mwanamke
^^
 

ufafanuzi wako unatosha baba paroko umeelezea kwa ufasaha sana

mie hata la nyongeza nimekosaaaaaaa
 

Over mkuu amemaliza kila kitu, ila tafauti nyengine ni kwamba hapo umetumia kimombo wakati wew ni mbongo
 
Last edited by a moderator:
Ungeandika vizuri ningetirika lacking umeandika kitoto sijui kfb....upuuzi
 
^^
Kwa lugha nyingine uwe mwanamke bora na sio bora mwanamke
^^

pia twaeza sema wife material n on other side vice versa z true! bt kinachonishangaza unaeza kuta hata m/me kigego na mweny tabia mbaya karbia zote et nae ataka wife material! ts disaster kwakwel mungu atupe macho ya rohoni wanawake cz ya mwil yanatudanganya! eiyer upooo apo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…