Naombeni somo kuhusu pete

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Hivi mtu akivaa pete kidole cha kwanza kutoka gumba anamaanisha nini? nipeni pia shule kuhusu vidole vingine.
 
Tofauti na pete za uchumba na ndoa nyingine ni urembo tu, pia kuna washirikina wanavaa sijui za kusafisha nyota sijui kuwa na bahati
 
Tofauti na pete za uchumba na ndoa nyingine ni urembo tu, pia kuna washirikina wanavaa sijui za kusafisha nyota sijui kuwa na bahati
Wengine tunavaa zile za kusalia (kiimani) tukiwa tupo kanisani au kwenye maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…