naombeni site za kudownload muvi kwa proxy

naombeni site za kudownload muvi kwa proxy

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
kwanza nawasalimu sana ndugu zangu tatizo nolilonalo naitaji site za kudownload muv through idm ila kwa kutumia proxy alie na utndu huo anweza kuni pm au atavopenda ila naitaji sana jamani samahanini kama nitakuwa sijaeleweka
 
Habari mkuu.naomba msaada wa proxy ambazo zinafanya kazi mkuu
 
Unataka site za kudownload muvi au unataka kudownload muvi kwa kutumia IDM through Proxy au?
Nadhani proxy kwako siyamuhimu, ila naweza kukushauli utumie Free Download Manager (FDM) ni nzuri sana kwa kudownload large file.
 
Back
Top Bottom