Ukiona perfume (sio body spray) inayoonyesha ndani halafu kale kamrija kamegusa hadi chini na kamepinda then hiyo siyo 100% perfect perfume.
Perfume nzuri ni ambayo mrija wake umeshuka straight bila kugusa sakafu ya chupa. Kwasababu perfectly made perfume huwa ni 100% spirit bila content ya maji. Sasa hizi za mrija unagusa chini it means sio perfect product inatakiwa kufyonza contents.