Naombeni phrases mbalimbali za kisheria

GANG MO

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
1,533
Points
2,000
GANG MO

GANG MO

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2016
1,533 2,000
Habar ya asubuhi wanasheria wa jukwaa hili. Nipo hapa kuomba orodha ya phrases mbali mbali zinazotumika katika sheria. Itakuwa ni vema ukiweka katika lugha ya english na tafsiri yake katika lugha ya kiswahili. Natanguliza shukrani

sent using
 
balibabambonahi

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Messages
7,459
Points
2,000
balibabambonahi

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2015
7,459 2,000
Habar ya asubuhi wanasheria wa jukwaa hili. Nipo hapa kuomba orodha ya phrases mbali mbali zinazotumika katika sheria. Itakuwa ni vema ukiweka katika lugha ya english na tafsiri yake katika lugha ya kiswahili. Natanguliza shukrani

sent using
Non est factum=not my deed. Legume bacclaures= llb. lexniusta non est lex= law without justice is not law

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mohammed khatibu

mohammed khatibu

Senior Member
Joined
Jun 28, 2018
Messages
156
Points
225
mohammed khatibu

mohammed khatibu

Senior Member
Joined Jun 28, 2018
156 225
pact sunt servanda=promises must be kept.
inter alia=among other things.

ila nakushaur utumie black's law dictionary au hata zile legal dictionary ambazo zilitumwa na Dragoon.
 
E

Edward Nditi

Member
Joined
May 8, 2014
Messages
8
Points
45
E

Edward Nditi

Member
Joined May 8, 2014
8 45
Habar ya asubuhi wanasheria wa jukwaa hili. Nipo hapa kuomba orodha ya phrases mbali mbali zinazotumika katika sheria. Itakuwa ni vema ukiweka katika lugha ya english na tafsiri yake katika lugha ya kiswahili. Natanguliza shukrani

Nemo dat quod non habet-You cant give what you dont have
Audi alteram partem-Hear the other part
Nemo judex in causa sua-You cant be a judge in your own cause.
alias-known as.
Fragrante delicto-redhanded
Nula poena,sine lege-There is no punishment without law.
De jure.
De facto-
 
Sir Thinker

Sir Thinker

New Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
2
Points
45
Sir Thinker

Sir Thinker

New Member
Joined Jul 5, 2011
2 45
pact sunt servanda=promises must be kept.
inter alia=among other things.

ila nakushaur utumie black's law dictionary au hata zile legal dictionary ambazo zilitumwa na Dragoon.
Kuna App moja inaitwa Law Dictionary ina maana ya maneno ya kisheria na misemo ambayo mingi inatokana na kilatini kwenye sheria
 
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
308
Points
250
BenKaile

BenKaile

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
308 250
Habar ya asubuhi wanasheria wa jukwaa hili. Nipo hapa kuomba orodha ya phrases mbali mbali zinazotumika katika sheria. Itakuwa ni vema ukiweka katika lugha ya english na tafsiri yake katika lugha ya kiswahili. Natanguliza shukrani

sent using
USHAURI WANGU COMRADE NI KHERI UNGIE PLAY STORE YA ANDROID UPAKUE APP'S AMBAZO HUWA ZINA NISAIDIA SANA MIMI BINAFSI PIA. KUNA APP INAITWA "THE LAW.COM" & "LAW DICTIONARY OFFLINE". HIZI APP'S ZINAWEZA KUTUMIKA HATA KAMA HAUNA INTERNET BUNDLES AU KUWA ONLINE NA NETWORK YOYOTE.
 
Forum statistics

Threads 1,315,675
Members 505,292
Posts 31,866,470
Top