Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,702
Baada ya kusota kutafuta kazi hatimaye nikapata kibarua, sasa changamoto imekuja hapa ninapokaa maana kuna mtu aliniachia chumba akatoka na makubaliano ni hadi mwisho wa mwezi huu, sasa leo mwenye nyumba amekuja ghafla (hakai hapa) anasema yeye anajua chumba kipo free na ameshapata mtu amelipia kwahiyo nitoe vitu leo. Kosa nililofanya sikumshirikisha mwanzo wakti nakuja na sasa anagoma kusubiri mwisho wa mwezi.
Chondechonde ndugu zangu, mwenye hata kichumba cha stoo nijiegeshe kwa hizi siku chache tu. Kibarua nafanyia posta hivyo ikiwa sio mbali na hapo nitashukuru. Hapa ni kigamboni.
Karibu PM kwa maelezo zaidi