Naombeni pa kujiegesha wiki mbili

Naombeni pa kujiegesha wiki mbili

Nimekwambia njoo ungindoni kuna kibanda tujiegeshe, nashangaa hunitafuti.
Labda unataka chumba cha kishua, nani ajuaye?
Hapana ndugu. Ulinipa namba usiku na asubuhi nimeamkia kazini. Kila nikipiga namba haipatikani. Siwezi kudhaharau sehemu fulani wakati sina sehemu nyingine, naomba mwongozo wa namna ya kufika, kama una namba nyinigne itasaidia
 
Usidhubutu ku entertain shida zako Ofisini watakuchoka haraka, Wewe pambana bila hata watu wa ofisini kujua chochote kuhusu Life lako, Niliajiliwa sehemu Wakati natoka Chuo salary ilikuwa ndogo ndani ya miezi Miwili ilibidi nikae hostel za Chuo, Hakuna Mtu alijua
 
Tafuta kibanda cha mama Lishe ulale. Au ongea na walinzi wa mapagale utapata pa kujisitiri
 
Nimechelewa kuiona hii kama bado hujapata sehemu ya kujistiri njoo nipo kimara njoo PM kwa details zaidi
 
Unapofanya kazi hauna wafanyakazi wenzako au boss wako au mtu yoyote anaeweza kukusaidia?

Nauliza hivyo kwakuwa ni rahisi zaidi kupata msaada kwa watu ulio nao karibu kuliko mtu wa mtandaoni ambae hakufahamu.
Mkuu tukiwaga makazini tunaulamba kumbe wengine tunapitia changamoto. Sasa kuanza kumlilia shida mfanyakazi mwenzako kama hiyo unaogopa asije kukutangaza kuwa hata sehemu ya kulala huna kama kalubandika.
 
Usidhubutu ku entertain shida zako Ofisini watakuchoka haraka, Wewe pambana bila hata watu wa ofisini kujua chochote kuhusu Life lako, Niliajiliwa sehemu Wakati natoka Chuo salary ilikuwa ndogo ndani ya miezi Miwili ilibidi nikae hostel za Chuo, Hakuna Mtu alijua
Mkuu upo sahihi 100%
 
Mkuu njoo hapa Ungindoni ujiegeshe kwenye kibanda nilichopanga, ni chumba hakina umeme, ila kwa kujiegesha kama ulivyosema, kinafaa.
Ungemuuliza kama yeye ni KE au ME?
 
Waungwana wapo kikubwa ukipata sehemu kawe mwaminifu kwa mke wa mwenyenyumba na ukiondoka usichukue namba ya wife wala kuchora raman ya kuingilia ndani uibe.Sorry ni maneno makali lakini ndo uhalisia wa dunia ya sasa
Hilo suala la wizi ni hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom