Naombeni Old bongo flava hizi

Joined
Mar 6, 2017
Posts
33
Reaction score
135
Please mwenye nyimbo hizi za bongo flava naziomba

1. Mtani jirani - Juma Nature

2. Kicheko tu - BDP

3. Kula kona - Manzese Crew

4. Bosi - BWV (from mwanza kirumba)

5. Haki - Mr II Ft Justine Kalikawe

6. Bamiza - Xplastaz

7. Watu bwana - Zig Zag

8. Ahadi za bosi

9. Ndani ya Club - DJ Simba Ft Solo thang

10. Utulie wangu mpenzi - Jacky Marie

11. Mguu nje - GWM ft Balozi dola soul

12. Ni mimi - Mr II

13. Nataka niseme mimi - Neck breakers

14. Posta - Sonell

15. Voice Mail - Oten


Shukrani tele nikizipata, ...old is gold
 
10. Ninao, dah!
......tutulie wangu mpenzi mi ni chaguo lakoooo.......!
 
Hiyo namba 3 nyoko hiyo, hao mazee walikuwa masela hadi raha, halafu kuna hili dude la kuitwa ghetto langu la marehemu ngwea huwaga halichujagi kwangu, Sijui kwa nn aisee
 
16. Vina utata_solo thang
17.Mambo ya pwani_solo thang


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…