Hahahahaha lol!!!! Rafiki kwenye hili bado msimamo wangu haubadiliki. Tunazungumzia usalama wa familia kwa jambo dogo sana ambalo msaidizi anaweza kabisa kuamua kuipoteza familia nzima au kuiacha na majonzi makubwa sana. Pia simaanishi msaidizi atumie tu financial resources za familia hovyo hovyo kitu ambacho hata ndugu hatuwezi kumruhusu. Ninachosema ni kuwa flexible ili hawa wenzetu wasijione wanabaguliwa na hivyo kuhatarisha uhai na mali za familia au kutafuta mwingine kila baada ya miezi michache baada ya kushindana.
Kwani huzijui? corporate organisations wanatumia mobile lines za voda, tigo na airtel kama simu za mezani. Si unajua ttcl ilishazimia?
mkuu, hii ni TOPIC mpya kabisa (ijapokuwa ni nzuri). topic tunayojadili hapa sio pana kihivyo--jaribu kubaki kwenye hoja ya MSINGI--usiende mbali sana. hapa tunaongelea WILAYA lakini wewe unataka kutulazimisga tuumulike MKOA mzima! i think u get the logic.
Bahati mbaya hata ujui mada ipi ya kutoa povu ila kwa kuwa umejua kusema neno hilo basi unalitumia hata mahali ambapo halina haja,mfano wako ulioutoa mbona haulingani na mada iliyopo?
Asante rafiki......
Mimi nipo bomba, sijui wewe
nawasalimu wana mmu.
Jamani tuna hawa wadada wanatusaidia kukaa na nyumba zetu.
Kama tujuavyo maisha ya siku hizi bila simu inakuwa patashika kidogo.
Huwa mdada akija kama hana simu huwa nampa simu ambayo nimeinunua kwa ajili ya nyumbani ili niweze kuwasiliana naye naye awasiliane nami ambapo sipo nyumbani.
Na kama inatokea mdada kaja na simu yake basi simlazimishi atumie ile yangu, huwa natumia tu ile namba yake kwa mawasiliano.
Kinachotokea mpaka naomba mwongozo hapa ni kwamba; huwa nampa sh. 1000 kila wiki kwa ajili ya simu, ili akipata dharura basi aweze kunitaarifu. Mara nyingi mimi huwa napiga simu nyumbani mara kwa mara kwa hiyo inatokea mara nyingi tu ndani ya wiki hajanipigia wala kutuma sms hata moja, na yaweza kuwa hivyo hata mwezi mzima.
Kinachonichosha, siku ikitokea kapata dharura wala hapigi, nikiuliza naambiwa simu haina hela.
Wenzangu pia mnakumbwa na hili tatizo?
Nifanyeje sasa ili hili tatizo liishe?
Sababu wakati mwingine ni jambo la maana kabisa linatokea lakini hawezi kuniambia kisa hela kwenye simu kamaliza zoote kupigia watu wake, sasa maana yoooteee ya mimi kumpa hela ya simu inakuwa haipo.
Nimepata mdada mpya sasa nataka nianze naye tangu mwanzo sheria ya hela yangu ya simu iweje........
Unatafuta hisani ya wadau kwenye mfano wako?Uliwahi kumuuliza mtoa mada kuwa kuliwahi kuwa na tatizo zito nyumbani kwake na hakujulishwa kwa namna yoyote ile?haulingani kivipi?
beki 3 anaachiwa airtime kwa ajili ya emergency badala yake anaitumia kwa mambo mengine.
unampa mwanao fedha kwa ajili ya kulipa ada ya shule badala yake anatumia fedha hizo kuchezea kamari.
je, hizo statemets 2 zinazozungumzia MATUMIZI YASIYOKUSUDIWA hazina mfanano? wewe ulitaka zifananeje?
eti wadau, hakuna ulinganifu wowote hapo?
Asante rafiki.
Ila sasa nikiiblock kupiga namba nyingine si nitakuwa namwonea? akitaka kuongea na wazazi wake au ndugu wengine itakuwaje?
Hujaelewa bado. hiyo 1000 ni kwa ajili ya emergency tu. kama akitaka kupiga simu kwa ndugu zake atawekewa airtime atapiga. hakuna mtu aliyesema kwamba anamnyima beki 3 kupiga cm kwa ndugu na jamaa zake.
na kama 1000 ikitumika ikaisha leo ataongezewa nyingine papo hapo--1000 haiko FIXED!
yani hiyo ni kiboko ya njia tena ukifunga mr pasipo kujua inakua poa usalama muhim ati sina stress ata kidogo
rafiki salama?
umenielewa lakini?
sina shaka na treatment zangu kwa wadada, hata kama hunifahamu naomba nikuaminishe hilo.
hapa concern yangu ni moja tu, airtime ambayo nampa anipigie kukitokea dharura, na si kitu kingine.
huyu ni mdada wa nne kukaa naye. wa kwanza nilikaa naye kwa miaka 3 na wa pili miaka 9, mi5 akinisaidia kazi na mi4 nikimsomesha ili akitoka hapa aende akajitegemee akiwa na ujuzi wake, hili pia huna choice zaidi ya kuamini tu, lol!
watatu nimekaa naye miaka miwili na huyu sasa ndo mgeni. Hao watatu wote nilikuwa nimewatoa kijijini kwetu ambapo mpaka sasa wao wenyewe pamoja na wazazi wao tumekuwa kama ndugu, hawaachi kuja kunisalimu nikienda kijijini............
hapa naomba pia asome Miss Kim, Eiyer, Phlagiey, Toria, Mashaxizo na wengine
Ndo maana nikasema siwashangai wababa wanaosema hivi........
Kuanzia babangu mpaka mume wangu hawajawahi kujihusisha kabisa na maisha ya wasichana wa kazi, labda kama mama/mimi nimesafiri, ila kama tupo basi jukumu la wasichana ni la wamama.
changamoto tunazokutana nazo siwezi hata kuomba ushauri kwa mume wangu maana naye atanijibu kama ambavyo wewe, Eiyer na BAK mnanijibu, ndo maana nikaona nije kuomba mwongozo huku ambapo nitakutana na wamama ambao pia wanakutana na hizi changamoto.
BTW naomba sana munielewe, nazungumzia matumizi ya airtime ninazompa za dharura, siyo chakula, kazi wala malazi......
wewe ndio mumewe, umejuaje kuwa jambo liko hivyo, kama unavyotaka tuamini kuwa ipo hivyoHujaelewa bado. hiyo 1000 ni kwa ajili ya emergency tu. kama akitaka kupiga simu kwa ndugu zake atawekewa airtime atapiga. hakuna mtu aliyesema kwamba anamnyima beki 3 kupiga cm kwa ndugu na jamaa zake.
na kama 1000 ikitumika ikaisha leo ataongezewa nyingine papo hapo--1000 haiko FIXED!
Nilikuwa nayo ya ttcl wakaamua kuiharibu sababu ilikuwa inawafunga kubaki home. sasa ngoja nikajaribu voda, lol!Kwani huzijui? corporate organisations wanatumia mobile lines za voda, tigo na airtel kama simu za mezani. Si unajua ttcl ilishazimia?
ha haaaaa, that is your problem, not mineUmsomeshe mtu halafu uje ulalamikie matumizi ya buku?
Hata kale ka kondoo kangu pale nyumbani kataikataa hii ....!!