Naombeni mwenye namba ya kigwangala nimkabidhi hii mali yake

Nimemuona huyu nyoka shambani sasa naogopa nikimuua nitapata kesi. Naombeni wizara husika waje wamchukue
IMG_20200409_125055.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyoka.

Siwapendi Nyoka.

Nawaogopa sana Nyoka.

Ningejua kama ningekutana na Nyoka humu, wala nisingefungua.

Nataka kulala, sasa si nitaota huyo Nyoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom