Naombeni muongozo hapa wataalum

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,213
56,852
Kuna mtu kaniletea simu yake hapa sumsung a10 ikiwa imefanyiwa factory reset lakini bado inadai password na hata email yake kaisahau!

Wajuzi Kuna namna ipi ya kufanya hapa kutatua hili tatizo?
 
Rudisha hiyo simu mlipo iba

Ngoja tusubiri expert mkuu.
Mkuu simu haijaibwa na inamaelezo yote isipokuwa kwa mtu aliempatia kuirudisha ikawa tafrani hata hakumuomba password.. kaipeleka kwa Jamaa fulani kaifanyia factory reset lkn bado inaomba password to unlock!.. mkuu si wizi najua nachokifanya..😅
 
bila pc pia inawezekna ila ukiwa na pc tunaitaga single click unamaliza mziki hiyo lock hua inaitwa frp
Mkuu kwa sahivi nilipo pc iko mbali kidogo.. kashanichosha muda si mrefu namkabizi mzigo wake akatafute mganga mwengine..kwani huyo alieifanya hivi yamemshinda nini na naambiwa alikuwa na pc Sasa Mimi kenge si ndo itakuwa tabu naona kama ndo nitaiongezea matatizo simu ya jamaa maana akili yangu naijua ilivyo balaa Tena nimetumia hekima kuja huku alasivyo sahivi tungekuwa tumeshikana mashati..😂😂
 
Mkuu Kama hiyo njia ya isiyotumia pc si ndefu ilete hapa ila iwe ni hiyo ya Samsung a10 lkn nisijeshikwa shati bure nikaanza kusema ningejua..🤣🤣😂
 
Mkuu kwa sahivi nilipo pc iko mbali kidogo.. kashanichosha muda si mrefu namkabizi mzigo wake akatafute mganga mwengine..kwani huyo alieifanya hivi yamemshinda nini na naambiwa alikuwa na pc Sasa Mimi kenge si ndo itakuwa tabu naona kama ndo nitaiongezea matatizo simu ya jamaa maana akili yangu naijua ilivyo balaa Tena nimetumia hekima kuja huku alasivyo sahivi tungekuwa tumeshikana mashati..😂😂
aaah kwa hiyo stuation simu hua haizimi fanya ivi fuata hii video itakupa tafu ungekua na pc ningefanya remote
 
Mkuu simu haijaibwa na inamaelezo yote isipokuwa kwa mtu aliempatia kuirudisha ikawa tafrani hata hakumuomba password.. kaipeleka kwa Jamaa fulani kaifanyia factory reset lkn bado inaomba password to unlock!.. mkuu si wizi najua nachokifanya..😅
Andaa 10,000/=
 
Kama umeifanyia factory reset na ilikuwa na frp hapo kuna njia kama mbili za kutoboa,
1. Google how to bypass google account hapa kichwa kiwe Sharp vinginevyo utakesha.

Kama hiyo simu yako inatumia chip za MTK tafuta crack za nck dongle ni single click hapa.
 
SAMSUNG nyingi ni qualicum ata Ukikutana MTK haitoki kwa clack za nck
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom