Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,712
Wanachit chat naomba mnielekeze hospital nzuri ya kung'oa meno....jino linaniua, yani nahisi kufa jamaniiiii....
nimelia hadi macho yamevimba....
nipo dar
MziziMkavu tafadhal pitia hapa unielekeze dawa ya kutuliza maumivu......
nimelia hadi macho yamevimba....
nipo dar
MziziMkavu tafadhal pitia hapa unielekeze dawa ya kutuliza maumivu......
Last edited by a moderator: