Hii kali anajaribu hadi nguo zako za ndani, hizi ni dalili tosha kuwa shoga. Mpige chini tu huyo, utapata mwanaume mwingine. Wanaume mbona wapo wengi tu na wana maadili mazuri.Jamani mnashindwa kunielewa kote huko nimechunguza kwa kweli Mr anatabia za kishoga mwanzoni sikuwa namfatilia sana. Kuna siku niliisha mkuta anajaribu sidiria zangu, tight na hata Gstring zangu nikamuuliza vipi mzee akasema anampango wa kuninulia kwa hiyo anajaribu. Sijui kama ni kawaida kwa wanaume wengine kutumia perfume na mafuta ya mwenza wako, kadri siku zinavyozidi kwenda naona tabia nyingi za kike anazo huyu mzee. Hilo la kumuita rafikie mpenzi nadhani ni zaidi ya hapo....siku nikitoka naye tukurudi nyumbani storiz zake ni kusifia wanaume wenzake....
Hii kali anajaribu hadi nguo zako za ndani, hizi ni dalili tosha kuwa shoga. Mpige chini tu huyo, utapata mwanaume mwingine. Wanaume mbona wapo wengi tu na wana maadili mazuri.
Hii kali anajaribu hadi nguo zako za ndani, hizi ni dalili tosha kuwa shoga. Mpige chini tu huyo, utapata mwanaume mwingine. Wanaume mbona wapo wengi tu na wana maadili mazuri.
Niko kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa kama miaka 3 hivi na tunategemea kufunga Dec kama mambo yatakuwa salama. Siku za hapa karibuni nimehisi Mr wangu anatabia za kishoga. Ana rafiki yake wa muda mrefu huwa kila sehemu wanakuwa naye nimegundua huenda huyo ndiye anayefanya naye mchezo mbaya. Nimeongea naye hataki kuwa mkweli ila nimeisha ona hata meseji akimwita huyo rafikie wa kiume mpenzi. Jamani nifanyaje?
Jamani mnashindwa kunielewa kote huko nimechunguza kwa kweli Mr anatabia za kishoga mwanzoni sikuwa namfatilia sana. Kuna siku niliisha mkuta anajaribu sidiria zangu, tight na hata Gstring zangu nikamuuliza vipi mzee akasema anampango wa kuninulia kwa hiyo anajaribu. Sijui kama ni kawaida kwa wanaume wengine kutumia perfume na mafuta ya mwenza wako, kadri siku zinavyozidi kwenda naona tabia nyingi za kike anazo huyu mzee. Hilo la kumuita rafikie mpenzi nadhani ni zaidi ya hapo....siku nikitoka naye tukurudi nyumbani storiz zake ni kusifia wanaume wenzake....
Niko kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa kama miaka 3 hivi na tunategemea kufunga Dec kama mambo yatakuwa salama. Siku za hapa karibuni nimehisi Mr wangu anatabia za kishoga. Ana rafiki yake wa muda mrefu huwa kila sehemu wanakuwa naye nimegundua huenda huyo ndiye anayefanya naye mchezo mbaya. Nimeongea naye hataki kuwa mkweli ila nimeisha ona hata meseji akimwita huyo rafikie wa kiume mpenzi. Jamani nifanyaje?
Mwanamtama achana nae huyo njoo kwangu mi nipo nipo tu natafuta bado.
Leviticus Chapter 18 verse 22
22 Thou shalt not lie with mankind, as with womankind: it is abomination.
Kama unataka ushauri,ushauri ni huu. Kama unataka porojo,haitakusaidia kitu chochote.
Sasa mtafute mwanaume ambaye hana tabia za homosexuality,ambayo siku hizi siyo rahisi
unamwambia atafute mwanaume ambaye hana tabia za kishoga, ambayo siku hizi si rahisi.
sijakuelewa, una maana siku hizi kumpata mwanume ambaye hana tabia za kishoga ni ngumu au, ufafanuzi please.
unamwambia atafute mwanaume ambaye hana tabia za kishoga, ambayo siku hizi si rahisi.
sijakuelewa, una maana siku hizi kumpata mwanume ambaye hana tabia za kishoga ni ngumu au, ufafanuzi please.
Mwanamtama achana nae huyo njoo kwangu mi nipo nipo tu natafuta bado.
Wapendwa nawashukuru kwa michango yenu! Nimethibisha jamaa ni shoga na tumekubaliana bila chuki kila mtu aendelee na maisha yake. Vikao vya wazazi pande zote vimeridhia, Mr aliulizwa kwa uwazi hakuweza kabisa kukubali ama kupinga, baba yake mzazi alisusia kikao na hili limeweka wazi huenda ni tabia aliyokuwa nayo tangia kale.
Maishani kila siku twajifunza, nakubaliana na nawe Joy tabia ya ushoga inakuwa sana siku hizi nawashauri wadada wenzangu muwachunguze jamaa zenu msije kuwa mnaishi na mashoga
Mwana
ndio maana namwambiaga mdogo wangu MJ1 akae chonjo na wewe...kila uonacho wakitolea macho!
Wapendwa nawashukuru kwa michango yenu! Nimethibisha jamaa ni shoga na tumekubaliana bila chuki kila mtu aendelee na maisha yake.