BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Naona hii story ni story ya kubumba tupate cha kuongea hapa. huyo bwanake siyo shoga hata dakima moja, ila waume zetu wanapenda kusave namba za wadada wengine kwa majina ya marafiki zao. Chunguza vizuri mumeo ana demu mwingine aliyesevu namba kama jina la rafiki yake. Kama siyo uzushi mwache huyo bwanako haraka sana
Jamani mnashindwa kunielewa kote huko nimechunguza kwa kweli Mr anatabia za kishoga mwanzoni sikuwa namfatilia sana. Kuna siku niliisha mkuta anajaribu sidiria zangu, tight na hata Gstring zangu nikamuuliza vipi mzee akasema anampango wa kuninulia kwa hiyo anajaribu. Sijui kama ni kawaida kwa wanaume wengine kutumia perfume na mafuta ya mwenza wako, kadri siku zinavyozidi kwenda naona tabia nyingi za kike anazo huyu mzee. Hilo la kumuita rafikie mpenzi nadhani ni zaidi ya hapo....siku nikitoka naye tukurudi nyumbani storiz zake ni kusifia wanaume wenzake....
Sipo umeongea pointi makini, bila shaka ni asilimia 99.9 .dada fanya uchunguzi na zaidi kama unaweza pata ile namba ya simu iliyokubwa na msg then fatilia kwa watoahuduma wa mtandao huo wa mawasiliano na hapo utaweza kujua mmiliki halizi wa namba hiyo ya simu kama ni mr au mrs maana wao wana rekodi zote za mawasiliano.
.................
The art of being wise is knowing what to overlook
Hiyo namba ya simu ni ya rafiki yake, nimeisha ipiga nikaongea naye, jamaa asivyo na aibu akaniulizia Mr anaendeleaje!? Nilichoka kabisa huyu jamaa niwatanga, sasa huo urafiki wao na sisi watu wa Dodoma sipati jibu. Huyo rafiki yake akija nyumbani naona Mr huwa anabadilika anakuwa na ukarimu wa ajabu. Mpaka nimelata hapa kwenye forum mjue nimejionea mengi. Ajabu hatuna shida ya kiamapenzi yuko poa ila sasa kama anamchezo huo ni aibu kwangu!
ACHA WASIWASI WEWE BIBIE HUYO MCHUMBA WAKO SIO SHOGA WALA NINI SEMA KASEVU JINA LA KIMEO CHAKE CHA NJE KINACHOMPA MAMBO MATAMU KWA JINA LA RAFIKI YAKE UNAYEMFAHAMU WEWE ILI HATA UKIONA SIMU INAITA WEWE HUSIIPOKEE. SASA TATIZO WEWE UMEENDA BEYOND HADI KUSOMA MESEJI KWENYE SIMU YA MCHUMBAKO NDIO MAANA UMEONA HIYO MESSAGE UKAPATA KIWEWE.
THEREFORE ENDELEA NA MIPANGO YA HARUSI KAMA KAWAIDA UTAVUNJA HIYO MIPANGO BAADAE UTAJUTA UTAKAPOUJUA UKWELI.
MIMI NINA MSHIKAJI WANGU ANA HIYO TABIA NAMBA ZA VIMADA WAKE ANASEVU MAJINA YA WASHIKAJI ZAKE, WIFE AKIONA INAITA UTASIKIA ''MUME WANGU NJOO SHEMEJI EMMANUEL ANAPIGA SIMU'' KUMBE HAPO ANAPIGA HALIMA
fanya uchunguzi kwanza kabla ya kulivua pendo ukaja juuuta bure
Iko hivi kama jamaa anamwita mwanaume mwenzie mpenzi ni ukweli kwa wengine lazima tutaanza kupata wasiwasi!Lakini hata wanawake pia wanapenzi wao wake nao itakuwaje(Lesbian)kwa mwanaume(Gay);nafikiri umenisoma.Kwahiyo tusiangalie upande mmoja wa shilingi tu.Tafadhali Mwamtama, mchunguze huyo mchumba kabla ya kuingia ndoani. Hilo la kumuita mpenzi mwanamume mwenzake hata mie naona kuna walakini, maana kwa wanawake si ajabu kuitana hivyo.
Once again mchunguze huyo, uamue mapema kusuka au kunyoa.
hayo matukio yote unasema na wewe ndio unaona na una akili timamu ya kuweza kukufanya huwe na wasi wasi na kugundua kasoro kwa jamaa yako.sisi wote humu tunakusikiliza wewe ni tofauti na kuona kwa macho.sasa kama una huakika kwamba kashakupa dalili zote yeye anatabia hio chafu ni vitu viwili vya kufanya.kwanza kama bado unampenda na inaonekana bado unampenda na unataka kuwa nae basi ujaribu kuweka kikao hata na wazazi wake abadirishe hio tabia kama kweli bado unamuhitaji kuwa nae kiasi hiko.pili kama una uwezo wa kuachana nae kutokana na tabia zake ufanye maamuzi mapema kabla mambo yajawa hatari zaidi na kabla mjapiga hatua ya kuwa mke na mume.Jamani mnashindwa kunielewa kote huko nimechunguza kwa kweli Mr anatabia za kishoga mwanzoni sikuwa namfatilia sana. Kuna siku niliisha mkuta anajaribu sidiria zangu, tight na hata Gstring zangu nikamuuliza vipi mzee akasema anampango wa kuninulia kwa hiyo anajaribu. Sijui kama ni kawaida kwa wanaume wengine kutumia perfume na mafuta ya mwenza wako, kadri siku zinavyozidi kwenda naona tabia nyingi za kike anazo huyu mzee. Hilo la kumuita rafikie mpenzi nadhani ni zaidi ya hapo....siku nikitoka naye tukurudi nyumbani storiz zake ni kusifia wanaume wenzake....
Jamani mnashindwa kunielewa kote huko nimechunguza kwa kweli Mr anatabia za kishoga mwanzoni sikuwa namfatilia sana. Kuna siku niliisha mkuta anajaribu sidiria zangu, tight na hata Gstring zangu nikamuuliza vipi mzee akasema anampango wa kuninulia kwa hiyo anajaribu. Sijui kama ni kawaida kwa wanaume wengine kutumia perfume na mafuta ya mwenza wako, kadri siku zinavyozidi kwenda naona tabia nyingi za kike anazo huyu mzee. Hilo la kumuita rafikie mpenzi nadhani ni zaidi ya hapo....siku nikitoka naye tukurudi nyumbani storiz zake ni kusifia wanaume wenzake....
e bwana hapo hamna cha kuita wazazi wala nani huyo ni wakumtosa tu,jamaa inaonekana kabisa kamchezo hako kamemnogea wala hawezi kubadilika sahau ukiendelea nae jiandae na aibu huko mbeleni,maana kitendo cha kumleta huyo bashaake mpaka hapo nyumbani ina maana tayari hana aibu kuhusu hilo,na usishangae ukiachana nae ndio akamuhamishia basha wake hapo nyumbani.ingawa unampenda,na najua nini maana ya mapenzi,hapo umeula wa chuya,pole mwanamtama ningekuwa hapo karibu ningekufariji kwa kufanya mapinduzi straight maana unaonekana ni mstaarabu sana.poleehayo matukio yote unasema na wewe ndio unaona na una akili timamu ya kuweza kukufanya huwe na wasi wasi na kugundua kasoro kwa jamaa yako.sisi wote humu tunakusikiliza wewe ni tofauti na kuona kwa macho.sasa kama una huakika kwamba kashakupa dalili zote yeye anatabia hio chafu ni vitu viwili vya kufanya.kwanza kama bado unampenda na inaonekana bado unampenda na unataka kuwa nae basi ujaribu kuweka kikao hata na wazazi wake abadirishe hio tabia kama kweli bado unamuhitaji kuwa nae kiasi hiko.pili kama una uwezo wa kuachana nae kutokana na tabia zake ufanye maamuzi mapema kabla mambo yajawa hatari zaidi na kabla mjapiga hatua ya kuwa mke na mume.
Kikubwa Mwanamtama ambacho hujatuambia vizuri ni hizo tabia za kishoga ulizoziona! Lakini kama basis yako kubwa ni hiyo message basi naungana na Sipo kukutoa hofu. Kwa kawaida wapiganaji wengi huweka majina ya wanawake kwenye simu wale ambao wife/mchumba anawajua na ambao hawana madhara mfano dada, jirani, mfanyakazi mwenza nk. Lakini akiwa na kitu yake ingine hata kama ni ya zamani huwa haweki jina isipokuwa anatumia majina ya marafiki zake mfano utakuta Juma, Juma2, Juma3.......hapo jua kuwa hiyo Juma3 ni totoz....sio Juma real
Kama vile ulijua kakahebu jichukulie 'ustaarabu' wako. Ukitaka wanaume 'strait' hata hapa wapo wengi tu. Pole.
Niko kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa kama miaka 3 hivi na tunategemea kufunga Dec kama mambo yatakuwa salama. Siku za hapa karibuni nimehisi Mr wangu anatabia za kishoga. Ana rafiki yake wa muda mrefu huwa kila sehemu wanakuwa naye nimegundua huenda huyo ndiye anayefanya naye mchezo mbaya. Nimeongea naye hataki kuwa mkweli ila nimeisha ona hata meseji akimwita huyo rafikie wa kiume mpenzi. Jamani nifanyaje?
Kama vile ulijua kaka
huyu dada akilivua pendo basi aje straight kwa SIPO na harusi hasitie shaka tutafunga tu kwa muda muafaka
Please dada husitange tange ukilivua tu tangaza hapa au ili kuondoa purukushani uni-PM kabisa
Mzeiya haya mambo mawili sio priorty sana kwangu kwenye mapenziHili fagizi la nguvu....! mazee huitaji kujua dini wala kabila unabeba mzigo