Kuna mtu ameaaply wizara amesubmit kimakosa sasa kuna marekebisho anahitaj kufanya na kuongeza baadhi ya document akifanya hivo inagoma sababu alisha submit deadline tar 28 siaja namsaidiaje
Nb nimemshauri aende wizaran dodoma kabla ya hiyo deadline. Kama kua mwenye wazo anisaidie.