Asante nimeelewa...je ss ntajua vipi kwanza nipo katika siku za hatari...?Una muda gani toka umejifungua?..,unanyonyesha?...
Kama unanyonyesha kutopata period ni kawaida(physiological amenorrhea) inatokana na homoni ya oxytocin kuwa nyingi kwa sababu ya kunyonyesha inapelekea kushusha (supress) homoni zingine zinazohusiana na mzunguko wa hedhi (menstrual cycle)
Hope utakua umeelewa..
Asante sana nimeelewaNakushauri kama unanyonyesha ni vema ukatumia njia za uzazi wa mpango kwa usalama zaidi usije pata (unwanted pregnancy),ila huwezi pata ujauzito haupati siku kutokana na sababu hizo hapo juu so uzazi wa mpango ni kwa usalama tu manake huwa inatokea sometimes