Naombeni msaada wenu.

Naombeni msaada wenu.

Nyamajiva

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
210
Reaction score
23
Mimi ni mhitimu wa mafunzo ya kilimo Diploma naliambiwa serikali itatoa ajira toka 2012 mpaka sasa hatujui ni lini sepikali itatoa ajira izo pia hata wenzetu wa mwaka huu nao wamemaliza na hawajui kinacho endeleea, hivo ndugu zangu kwa yeyote mwenye taarifa za wizarani anijuze kinacho endelea. Kitaa tumechoka vibaya mno.
 
Mwenzunu natafuta kazi za kilimo hasa umwagiliaji ndo ujuzi uliko
 
Back
Top Bottom