Naombeni msaada wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada wenu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by witness aminie, Mar 30, 2012.

 1. w

  witness aminie Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nina mdogo wangu,alifunga ndoa mwaka 2009 akaishi na mume mwaka 1 baada ya hapo wakatengana mwanaume alimfukuza kama mbwa na kufikia hatu ya kumpeleka polisi eti ameiba moja ya gar walizokuwa wamechuma pamoja,sasa huu ni mwaka wa pili hawaishi pamoja,sasa anauliza afanye nin?anahitaj vitu vyake alivyo acha kwa huyo mwanaume,na anaogopa kwenda kuchukua akihofia kufanyiwa unyama je afanye nin?
   
 2. H

  Humphrey Ngute Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama hawajatenganishwa ma mahakama basi anatakiwa aende kwenye reconciliation board kama sheria ya ndoa inavyotaka na ikitokea hiyo board imeshindwa kuwapatanishwa watampa certificate na anatakiwa aende mahakamani ili aombe divorce na hii kama akishinda mahakama itaamuru mgawanyo wa mali kwa uwiano. lakini haya yote anaweza kuyafanya kama tu wote wawili au yy hataki tene kuendelea na ndoa hiyo.
   
 3. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Ndoa yao ilikuwa ya aina gani?kiislamu,kikistro au kiserikal?
   
 4. w

  witness aminie Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hatak tena kuendelea na ndoa hio.asante kwa ushauri
   
 5. w

  witness aminie Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ndoa ya kikristo
   
 6. B

  Bandio Senior Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndoa ya kikristo. Nashauri aende kwa wazazi wao awaeleze yaliyotokea watawaita na kuwasuluisha, ikishindikana aende kanisani watasaidia kuwasuluisha. Maandiko yanasema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe.

  Hapo hakuna habari ya hahitaji ndoa tena, huo ni mzigo wake na mwambie akumbuke kiapo chake aliapa kuishi naye wakati wa raha na wakati wa shida, sasa hizo ndio shida. Anachotakiwa kufanya ni kutafuta njia ya kumaliza mgogoro wao na si kutaka kuachana na mume wake.

  Hata hivyo kama hatua zote hapo juu zitashindikana basi itambidi aombe msaada wa mahakama kwani mahakama ndio chombo pekee chenye mamlaka ya kusema kuwa ndoa imevunjika. Lakini kumbuka atatakiwa kwenda na hoja za msingi akielezea ni kwa nini anafikiri matatizo yaliyopo hayawezi kurekebishwa.
   
Loading...