VISIONEER
Senior Member
- Apr 29, 2011
- 141
- 20
Nimejaribu kufikiria nitume jukwaa gani nikashindwa lakini nikaona inawezekana nikapata msaada hata humu pia.
Mi ni kijana nina miaka 30,nimehangaika sana kutoka lakini sijafanikiwa vile nilivyotegemea kulingana na kipato changu ningekuwa mbali kimaendeleo.
Nimeshafanya kazi sana lakini kila ninapoajiriwa sikai na kazi mwaka mmoja najikuta inatokea tatizo na inanibidi labda nihame au niache kazi kabisa.
Matatizo makubwa ni ya wafanyakazi wenzangu.tatizo la mwisho lililonikuta ni mimi kutishiwa kuuawa na mfanyakzi mwezangu ikabidi niache kazi mwenyewe.
Mara nyingi naanza vizuri tuu huwa nakuwa na maelewano mazuri kazini au napendwa sana na managers wangu na huwa wanaaprreciate ninavyojituma kazini na utendaji kazi wangu.
Ila mwisho wake unakuwa mbaya na hii imeshatokea zaidi ya mara tatu na ni kazi ambazo zilikuwa zinaniingizia kipato kizuri.
Sasa najiuliza ni mkosi nimetupiwa au ni hali tu ya kawaida?au sijui namna ya kujiassociate na watu.nisaidieni jamani kwa sasa nataka kuelekea kukata tamaa lakini sipendi iwe hivyo maana ntaishije.
Ahsanteni