Naombeni msaada wenu wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada wenu wakuu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Michael Amon, Dec 21, 2011.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Nina shida na construction plan kwa ajili ya commercial building ambayo itatumika kwa ajili ya matumizi ya kiofisi tu. Nahitaji construction plan ya kisasa na ya kuvutia yenye jengo lenye gorofa 7. Nimejaribu kusearch google kama naweza kupata construction plan ya aina hiyo for free bila mafanikio. Tafadhali kwa yeyote mwenye uwezo wa kutatua tatizo langu naomba anisaidie kwani nina shida nayo sana.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ni PM nikupe namba ya Jamaa anachora ramani kwa bei rahisi kila kitu kuanzia archtecture design + structure design na anakuplintia kila kitu kwa bei rahisi sana ambayo hauwezi amini
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  pouwa. Ntakucheki mkuu.
   
Loading...