Naombeni msaada wenu kwa hili

solja njeree

Senior Member
Aug 27, 2013
175
94
Nimekua nikitatua mambo mengi yalionitatiza kupitia hapa nikapata ufumbuzi sahihi, leo pia nina hili,,,, WAKUU laptop yangu kila nikichat kuna batan hazitoi herufi zinatoa namba nashindwa kuchat kwamfano kwa juu kuna no moja hadi9, halafu huku chini kwenye herufi M, j, L pia kuna namba nataka kuzi lock nitumie za juu kama ilivyo kua mwanzo sas nashindwa, nikibinya m inatokea namba badala ya herufi m, nihilo tu kwa anae elewa naomba anisaidie
 
kuna wakati ilitokea hivyo jamaa yangu akaminya sikumbuki ni nini ikaisha sasa hayupo, aliniambia kuna namna unaweza kuzi lock ukatumia za juu na akaniambia na kama za keyboard zilizo jitenga kulia zingine zipo kushoto chini ya f1 f2 nk, sasa ndivyo ilivyo kwa laptop zina kaa chini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom