Asango
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 234
- 25
ndgu wanajamvi kuna rafiki yangu alisafiri kwenda nje ya nchi akaniletea zawadi ya Tv Singsung LED ya Singapore inch 25 akaniambia ni nzuri pia ni imara, lakini watu wng wanasema Singsung ni sio imara nashindwa kuelewa. kwa anayejua anifahamishe kuhusu jambo hili.