Flat tv/screeen monitor

Toa offer yako utafutiwe! kuna Singsung mpya kabisa kwa 350,000 LCD 22''
 
mkuu usije logwa ukanunua LCD!LCD inatumia crystal,na crystal huwa inaisha!nunua LED!kama huna hela ya kutosha bora ujichukulie gobole lako tu,,ile design ya kizamani!aka mzinga wa nyuki.
 
Kuna L.E.D TV, 1080p Full HD na ni 3D mpyaaaaaa.... kuna Sony, LG, Samsung, Philips, Changhong, Konka, nk kama uko serious contact hapa.
 
Kuna L.E.D TV, 1080p Full HD na ni 3D mpyaaaaaa.... kuna Sony, LG, Samsung, Philips, Changhong, Konka, nk kama uko serious contact hapa.
mi nataka zaidi lg iwe led 22/23" ni specs zake fasta
 
mkuu usije logwa ukanunua LCD!LCD inatumia crystal,na crystal huwa inaisha!nunua LED!kama huna hela ya kutosha bora ujichukulie gobole lako tu,,ile design ya kizamani!aka mzinga wa nyuki.
Wacha kusimuliwa ndugu yangu! Unajua unachokiongea? Mi najua yote kuhusu hizo life span za haya madude " profesionally" na inayoongoza kuwaumiza kichwa watu sio LCD ni Plasma ndio ina life expectacy ndogo kuliko and yet it is the most expensive one! You know kati ya hizi LCD,LED na Plasma kila moja ina faida na hasara zake so ni kupima tu kutokana na mahitaji yako
 
Mkuu, hii brand ni ya wapi? kama ngeni maskioni mwangu vile!
Hii Singapore ndugu yangu its a copy of Samsung just like SONY and SQNY, wanaziita zombie factory wenyewe ie they copy everything and sell under another brand but the owners are one and same
 
mkuu usije logwa ukanunua LCD!LCD inatumia crystal,na crystal huwa inaisha!nunua LED!kama huna hela ya kutosha bora ujichukulie gobole lako tu,,ile design ya kizamani!aka mzinga wa nyuki.
Taratibu Parachichi essentially LED TV ni LCD TV iliyofanyiwa improvement katika energy consumption.
 
mkuu usije logwa ukanunua LCD!LCD inatumia crystal,na crystal huwa inaisha!nunua LED!kama huna hela ya kutosha bora ujichukulie gobole lako tu,,ile design ya kizamani!aka mzinga wa nyuki.

Kama hoja ni kuishi sana kwa tv basi huo mzinga wa nyuki unaomshauri abaki nao kuliko kununua lcd tv ni bora pia kuliko led tv.

led tv ni lcd tv iliowekewa hio led (light-emitting diodes) .Kwahio tofauti ni kwenye mwanga na kweli led tv itaishi kwa zaidi au mpaka masaa 100,000 na lcd zaidi au mpaka masaa 60,000.

Kwahio kigezo cha mda sio kikubwa kihasi cha kuwambia habaki na hio alikuwa nayo kuliko lcd. Na hayo masaa hapo juu yote ya lcd na led ni mengi sana kihasi cha kwamba atakuwa kasha upgrade kwenye tv nyingine mda huo ukifika.

Quality ya pic nzuri ndio kwenye led lakini pia kama uwezo wake ni wakununua lcd quality safi tu sio aendelee kutumia tube.
 
led tv na lcd zna tofauti gani zaidi ya resolution,em nyie mlosoma Electronics tuelezeni vzur,na vp kuhusu hz lcd tv za Hisence tec za Startimes?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom