Boss wahi hospital faster. .
humu watazidi kukustress tuu. .
JF imepoteza mvuto sasa
Ahsante kwa ushauriHayo maziwa anayatoa mama kipindi mtoto anazaliwa yana kuwa na cholesterol nyingi na pia yana boost immune system ya mtoto.
Mtoto wako wa miezi sita amedhurika kwa kunyonya maziwa haya?
Mama ana maumivu na homa iwe ni infection?
Kama majibu yote ni hapana nenda tu kwa daktari upate clarification
Hey Miss HunkyPoleni sana! Mpeleke mkeo hospital
Ninae ila keshaolewaHey Miss Hunky! Ivi una Dada pacha ?.
Aahhh sawaNinae ila keshaolewa
Aahhh sawanot bad !! , hope uko cool sana ,Jana nikakusubiriaa weeee lkn wapi dooohhh!!
Nakusubiri tuu unacheza namm ,iman yangu huwa niyakipekee sana ,nibora usubirie tumain mpaka unapokufa ,kuliko kuendelea kuishi with disappointment !!.nisubiri tena na leo!
Ahsante mkulu kiufupi afya zao hazina mabadiliko yoyote namaanisha kichanga kinacheza na mama yake hana panapo muumaPole Mkuu maziwa ya mama kubadilika nihali yakawaida na visababj vingi huchangia.
Ila unjano wamaziwa ya mama nimatokeo ya Mwili wamama kuzalisha Fat zaidi na Antibodies zaidi ktk kuhakikisha anampa mtoto nguvu ya kupambana na infections.
Ikiwa kuna badiliko ktk mwili Wa Kichanga , Mara nyingi sana Mama anazalisha Colostrum ambayo ina utajiri mwingi Wa Immunoglobulin A nakazi yake kumwepusha mtoto dhidi ya iyo badiliko.
Sasa basi km nivema ujikite zaidi kwa mtoto umuangalie ,lkn pia kama mama anaambata na dalili nyingine basi nivema kuwahi hospital.