Mkuu kibinadamu hatuna uwezo wa kujua yaliyo mbele ya wakati wala yaliyo moyoni mwa binadamu mwenzetu
Hapa kila mtu atasema lake lakin bado haitosaidia kupata jawabu sahihi!
Labda nkuulize wakat mpo chuo alikuwaga yupo huru kuongea na wewe? Je! Alikuwa anapenda kuwa karibu na wewe?
Je wakati mnawasiliana alikua anatoa atention kwa kujali kukuelewesha usichoelewa kwa moyo au ilimradi tu?
Uliwahi kumweka wazi mshahara wako?,picha za nyumBani kwako? Na ofisini kwako?
Hebu nkuambie kitu mimi pia ni kiziwi bahati mbaya sijafanikiwa kutoka kimaisha,Demy naemsalandia always anafuatilia progress zangu za kutusua kuliko hata afya yangu najua nikitusua chaaap atanikubalia..!
Maisha ni magumu now mkuu naona anatafuta pa kujishikiza ila jua wazi akiwa chuon aliwapa nafasi wengine wewe akakuweka wa akiba!
Nakushauri usioe kwa kukurupuka ish nae umchunguze utalijua lengo lake...kila la kheri
Sent from my iPhone using JamiiForums