Naombeni msaada wa ushauri ndugu zangu

Kwanza umetengana nae muda gani?aisije akawa anaenda pigwa ukuni huko halafu akupe ww majukumu!Narudi tena kwenye Ndoa zenu kuna watoto wetuu,hongera
 
kubali tu ufiche aibu zako. miaka 4 hakuna mimba, na hapo nahisi ulikuwa na michepuko nayo hakuna ata mmoja mwenye ujauzito jua wewe ndio mwenye tatizo.
kama ni kweli unatatizo huyo dem kaona akusaidie tu kuficha aibu kwa vile bado anakuitaji
 
Una uhakika alieandika anajua kingereza? Mbona kaomba ushauri kwa kiswahili wewe unajibu kwa kingereza?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Pole sana kwisha!

Unaonekana ni mwenye mashaka mengi kuhusu huyu mwanamke, ni kama vile umelazimishwa kuishi nae ndio maana kila mimba anayokuwa nayo huna uhakika kama ni yako.
Nenda mkapime ili ujue muda wa mimba

Baada ya kujua muda wa mimba linganisha na muda mliotengana kisha jiridhishe.
 
Pole sana, ndoa siku hizi zinaleta huzuni badala ya Furaha, zinaleta maumivu badala ya Faraja, ndoa zimetawaliwa na mashaka na wasiwasi.

KIJANA KATAA NDOA
 
Mara nyingi wanandoa wakikosana kuhusu mtoto pale inapotokea wanatengana basi mimba huja kipindi cha likizo hilo ninashuhuda nalo kabisaa wala hujapigwa io ni mimba yako ipokee
 
Mara nyingi wanandoa wakikosana kuhusu mtoto pale inapotokea wanatengana basi mimba huja kipindi cha likizo hilo ninashuhuda nalo kabisaa wala hujapigwa io ni mimba yako ipokee
kwambaa alipoachana nae tu mimbaa ikawa imoooo....!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…