Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,671
ðŸ˜Leo mimba hiyo, leo mtoto huyo huna kizazi acha kupekua pekua yasiyokuhusu ndugu.
ðŸ˜Leo mimba hiyo, leo mtoto huyo huna kizazi acha kupekua pekua yasiyokuhusu ndugu.
😃😃😃😂😂Huyu mchizi anatatizo la ubongo ama ana akili ya kivulana.
Una uhakika alieandika anajua kingereza? Mbona kaomba ushauri kwa kiswahili wewe unajibu kwa kingereza?First trimester ultra sound . Ni very accurate . Utajua Mimba Ina week ngapi . It’s a very simple case . It’s basically a social problem rather than scientific one . Ukijua then what ? You’re legally married . Social laws are on her side . Till proven otherwise. Utalea Mimba hiyo Kama the woman is smart na mtoto pia . You will have painful legal & social battle for the coming months . Pole sana.
kwambaa alipoachana nae tu mimbaa ikawa imoooo....!!Mara nyingi wanandoa wakikosana kuhusu mtoto pale inapotokea wanatengana basi mimba huja kipindi cha likizo hilo ninashuhuda nalo kabisaa wala hujapigwa io ni mimba yako ipokee