Naombeni msaada wa ushauri jamani

kinyaa

Senior Member
Jan 30, 2014
155
89
Kwanza salamu ama baada ya salamu watu wa JF!

Nina rafiki yangu ana matatizo na boyfriend wake, naombeni mnisaidie jmn nimshauri nini maana nabaki njia panda!
Huyu dada ana mchumba ambae wapo kwenye mahusiano almost 4 yrs now,ila huyu kaka Ana mwanamke mwingine ambae wamezaa nae ,n the guy alimwambia huyo rafiki yangu Kua walishindwana na mama mtoto wake hvyo now wanalea tu mtoto!

Lakini huyu dada Mara nyingi ananijia na kesi Mara amekuta sms ya yule mama mtoto kwenye simu ya mshikaji,(sms za mapenzi),Mara mama mtoto amefungasha anataka kuhamia kwa mshikaji,Mara aambiwe maneno na watu Kua wanaendelea na huyo mama mtoto wake basi tafrani yaan huyo mama mtt anakosesha Amani shoga yangu,lkn mshikaji kila cku amekua akimhakikishia Kua anampenda na acwe na wasiwasi.

Sasa Jana bwana ametoka kazini akaona apitie kwa mpezi kweli akamkuta wakatoka kwenda dinner,waka pitia Sheli ili kuweka mafuta,walipofika Sheli Yule mkaka akatoa walet ili atoe pesa kwa ajili ya kulipia mafuta,alipomaliza akweka walet pale kwenye redio kwa chini walet ilikua haijafungwa mhhh Yule best yangu kuchungulia akakuta picha ya huyo mama mtoto,ya mshikaji ,ya mtoto wao ,ya mama mkwe,na ya x Galfnd wasiku nyingi wa mshikaji,ya kwakwe yeye hakuna.

Akauliza vp hizi picha zinasubiri nn kwenye walet yako,jamaaa anaaanza kujikanyaga , shoga angu aka endelea kuuliza akiwa serious sasa jamaa baada ya kuona amezidiwa akaanza kumuwakia na kumpiga,

Is this fair jamani ,mtu umekosa bado unampiga mwenzie,top of that anaanza kumtukana na matusi sijui huyo rafiki yangu malaya ndo maana a natafuta sababu ya kumuacha,shogaa angu Amelia ata kula ameshindwa Jana usiku hawezi chochote nimsaidieje jamani!nimshauri avumilie tu kwa mshikaji maana anampenda kweli mwanaume wake!

Poleni kwa uandishi wangu its ma first time napost so sio mzoefu sana ktk uandishi!
 
Kifupi rafiki yako hajiamini,mtu akishakuwa na mtt na mwanamke mwingine inabidi ww uliyekuwa katika mahusiano nae uwe mvumilivu na muelewa bila hvyo utashindwa.

Halafu rafiki yako inaelekea hamwamini huyo jamaa ndio maana v2 vdg kama hivyo vinamsumbua.
 
Mtu akizaa na mtu,hawaachani, kwa kuwa wanaunganishwa na mtoto.best yako anaweza achwa, awe mpole tu,
 
Kifupi rafiki yako hajiamini,mtu akishakuwa na mtt na mwanamke mwingine inabidi ww uliyekuwa katika mahusiano nae uwe mvumilivu na muelewa bila hvyo utashindwa.

Halafu rafiki yako inaelekea hamwamini huyo jamaa ndio maana v2 vdg kama hivyo vinamsumbua.

Mfn ww ukute mwandani wako kaweka picha ya x wake kwa wallet utajickiaje!
 
Kama yameshakuwa hivyo bora tu akusanye vilivyo vyake aanze maisha mapya....na anatakiwa ajifunze,ni tabia mbaya kushika wallet au simu ya mwanaume bila ruhusa yake....
 
Tena mwambie asiwe anaenda kwa jamaa bila taarifa anaweza kukuta magumu zaidi chumbani kunako 6/6!
Wanawake mmezidi kuwa ving'ang'anizi sana papuchi yako kwann ujirahisi namna hiyo?
 
Back
Top Bottom