H Harun Magosho Member Joined Nov 14, 2011 Posts 8 Reaction score 0 May 21, 2012 #1 Jamani, naombeni msaada wakuu, ninayo software lakini sina namba yake ya siri. Kama kuna mtu anaweza nisaidia nitashukuru sana. Asanteni sana wana JF....
Jamani, naombeni msaada wakuu, ninayo software lakini sina namba yake ya siri. Kama kuna mtu anaweza nisaidia nitashukuru sana. Asanteni sana wana JF....
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,770 Reaction score 22,720 May 21, 2012 #2 Kwa watumiaji wa ESS na NOD32 latest update waweza pata hapa (Kwa NOD32) pamoja na automatic key installer au trial reset zake. Kwa ESS ingia hapa Leteni Feedback mkifanikiwa.
Kwa watumiaji wa ESS na NOD32 latest update waweza pata hapa (Kwa NOD32) pamoja na automatic key installer au trial reset zake. Kwa ESS ingia hapa Leteni Feedback mkifanikiwa.