Pole sana
Toa jina lako full, chuo unachosoma, usiwe mwepesi wa kutoa namba ya m-pesa ilihali taarifa zako hazijakamilika, pesa haitolewagi kizembe namna hiyo, ni vyema ukajieleza vizuri kiasi kwamba utaeleweka kirahisi vinginevyo utawatia mashaka watu ambao wangekuchangia.