Msaada: Ada ya Kozi ya Certificate in Computer Science Chuo cha SAUT

Mu7

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
1,560
1,821
Waungwana, Salaam!

Ninahitaji kumpeleka mwanangu chuo binafsi kwa ajili ya kusomea Computer Science chuo cha SAUT - Mwanza.

Kuna mwenye uelewa wa kiwango cha ada kwa mwaka ikoje kwa kozi hii?
 
Cheki website ya chuo au prospectus yao

Back
Top Bottom