naombeni msaada wa mchanga wa ada ya chuo

cinddy 822

New Member
Jul 17, 2016
1
1
Mimi naitwa cinddy, nilikua naomba mnisaidie kwa yoyote atakaeguswa na bwana moyo wa kujitolea. Nimefiwa na baba yangu mlezi aliekua ananisomesha chuo. Niko mwaka wa mwisho chuo nasomea kozi ya accounts and finance. Nimepungiwa na ada shillingi laki tatu. Namba yangu ya simu ni 0768184898 nimejiunga na mpesa. Asanteni na mungu awabariki.
 
una uhakika??
 
Pole sana ndo dunia suala la elimu ni ukombozI mkubwa madhali umeweka namba tutajikongoja japo kidogo.
 
Mimi naitwa cinddy, nilikua naomba mnisaidie kwa yoyote atakaeguswa na bwana moyo wa kujitolea. Nimefiwa na baba yangu mlezi aliekua ananisomesha chuo. Niko mwaka wa mwisho chuo nasomea kozi ya accounts and finance. Nimepungiwa na ada shillingi laki tatu. Namba yangu ya simu ni 0768184898 nimejiunga na mpesa. Asanteni na mungu awabariki.
Toa ufafanuzi wa kina, uko chuo gani, mkoa gani nk
 
Pole sana
Toa jina lako full, chuo unachosoma, usiwe mwepesi wa kutoa namba ya m-pesa ilihali taarifa zako hazijakamilika, pesa haitolewagi kizembe namna hiyo, ni vyema ukajieleza vizuri kiasi kwamba utaeleweka kirahisi vinginevyo utawatia mashaka watu ambao wangekuchangia.
 
Una umri gani?
Baba ako anaitwa nani?
Umezaliwa wa ngapi ktk familia yenu?
Je unasoma chuo gani?
Wewe ni mfupi au mrefu?
Una miaka mingapi?
Na bila kusahau nngependa kujua form four ulimaliza mwaka gani?
Je unanifahamu?
 
Duhh!! Questionnaire
 
Mkuu ngoja tuongezee na haya apa
Uko level gan cheti, stashahada au shahada?
Umeshaongea na ndugu zako?
Hili swala mwenyekiti wako wa mtaa analifahamu?
Wewe ni ke au me?
Umeoa/umeolewa?
Una mtoto/watoto?
Tuma picha yako kwa udhibitisho zaidi. Alafu baada ya hapo tuangalie namna ya kukusaidia
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom