Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu

Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu

andazi

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
54
Reaction score
233
Kuna maswali ambayo najiuliza
Mwanzo na mwisho ndugu yangu tulikutana mwanza
Alivyofika nairobi ndugu zake na mke wake
Sasa familia yangu wamenitenga
Dar es salam ndiko mke wangu anaishi
Mimi nipo uku morogoro kutafuta dawa
Atapata bus nikasema hapana ilo ni swali lake
Sasa tupo hapa kampala tunaingia kutafuta visa ya kuingia arusha
 
Kumekuuuuucha, mwezi nchangaaa
 
Tuliza mchecheto bro! Haujaeleweka...
Panga mawazo yako vizuri, uwasilishe ujumbe wa kueleweka.
 
Ivi nyie mods mnashindwaje kuweka vigezo au maswali machache ya kujieleza kabla ya mtu hajawa new member? Ona sasa vichaa wanaingia ktk jukwaa letu?
 
Back
Top Bottom