Iam back_Euphoria
JF-Expert Member
- Sep 17, 2024
- 366
- 1,114
Sijawahi kushabikia CCM na sitskuja kushabikia CCMUkiacha kuishabikia CCM tutakupa hayo maujanja
utakuwa Jobless hadi lini?
😂😂Mkuu natafuta knowledge sio uchawiHayo mambo Utaingia kwenye kupata na ungo shauri yako
Achana na ushirikina huo!!!Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good
Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho
Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana DR Mambo Jambo Rakims Pascal Mayalla na wengineo kutokana na uelewa wangu mdogo imekuwa vigumu sana kuelewa na kujifunza haya mambo. Mambo ya high na low frequency, meditation, chakras sijui Third eye, physical powers n.k ni mengi sana ila hayo ni machache niliyoyahifadhi akilini
Sasa wakuu yeyote mwenye kujua kuhusu haya mambo naomba anisaidie ata list ya vitabu vya kuanzia vya kusoma nipate kujua mawili matatu nitafurahi sana na kuahukuru, viwe English au swahili ni sawa tu japo hiki kizungu sometimes kinanisaliti ila sio mbaya nitakomaa kibishi tu
NB: Mimi ni jobless
😂😂😂😂😂 Huo n ukatili sasaUkiacha kuishabikia CCM tutakupa hayo maujanja
utakuwa Jobless hadi lini?
Usichokijua hiyo unayoiita knowledge ni ushirikina sawa tu na uchawi😂😂Mkuu natafuta knowledge sio uchawi
Kwahiyo mkuu unamaanisha mtu kuwa na knowledge hizo ni mchawi?? Kujua kuhusu meditation ndio nimekuwa mchawi??Usichokijua hiyo unayoiita knowledge ni ushirikina sawa tu na uchawi
una biblia?Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good
Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho
Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo Rakims Pascal Mayalla na wengineo kutokana na uelewa wangu mdogo imekuwa vigumu sana kuelewa na kujifunza haya mambo. Mambo ya high na low frequency, meditation, chakras sijui Third eye, physical powers n.k ni mengi sana ila hayo ni machache niliyoyahifadhi akilini
Sasa wakuu yeyote mwenye kujua kuhusu haya mambo naomba anisaidie ata list ya vitabu vya kuanzia vya kusoma nipate kujua mawili matatu nitafurahi sana na kuahukuru, viwe English au swahili ni sawa tu japo hiki kizungu sometimes kinanisaliti ila sio mbaya nitakomaa kibishi tu
NB: Mimi ni jobless
Utaanza kidogokidogo leo meditation kesho kufungua jicho la tatu mara kutoka nje ya mwili na kusafiri kwa roho.Kwahiyo mkuu unamaanisha mtu kuwa na knowledge hizo ni mchawi?? Kujua kuhusu meditation ndio nimekuwa mchawi??
Daah kuamini ushirikina kupitiliza madhara yake ndio haya sasa kila kitu unaona ni uchawi tu
Ndio mkuuuna biblia?
Mkuu siwezi fika huko najua limit nataka kujua namna ya kujilinda kiroho zaidi maana kuna mengi napitiaUtaanza kidogokidogo leo meditation kesho kufungua jicho la tatu mara kutoka nje ya mwili na kusafiri kwa roho.
Mwisho utaambiwa kuna siri ukiijua unakuwa na nguvu kama malaika
Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good
Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho
Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo Rakims Pascal Mayalla na wengineo kutokana na uelewa wangu mdogo imekuwa vigumu sana kuelewa na kujifunza haya mambo. Mambo ya high na low frequency, meditation, chakras sijui Third eye, physical powers n.k ni mengi sana ila hayo ni machache niliyoyahifadhi akilini
Sasa wakuu yeyote mwenye kujua kuhusu haya mambo naomba anisaidie ata list ya vitabu vya kuanzia vya kusoma nipate kujua mawili matatu nitafurahi sana na kuahukuru, viwe English au swahili ni sawa tu japo hiki kizungu sometimes kinanisaliti ila sio mbaya nitakomaa kibishi tu
NB: Mimi ni j
Be specific. Unataka kujua masuala ya kiroho ya upande gani? Maana mambo ya kiroho yapo aina mbili tu. Mambo ya kiroho ya upande wa Mungu na ya upande wa shetani. Nakushauri tafuta mambo ya kiroho ya Mungu aliyehai ambayo yanapatikana kwenye Biblia. Ukianza kutafuta ya upande wa giza utapatablakini matokeo yake ni mauti.Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good
Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho
Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo Rakims Pascal Mayalla na wengineo kutokana na uelewa wangu mdogo imekuwa vigumu sana kuelewa na kujifunza haya mambo. Mambo ya high na low frequency, meditation, chakras sijui Third eye, physical powers n.k ni mengi sana ila hayo ni machache niliyoyahifadhi akilini
Sasa wakuu yeyote mwenye kujua kuhusu haya mambo naomba anisaidie ata list ya vitabu vya kuanzia vya kusoma nipate kujua mawili matatu nitafurahi sana na kuahukuru, viwe English au swahili ni sawa tu japo hiki kizungu sometimes kinanisaliti ila sio mbaya nitakomaa kibishi tu
NB: Mimi ni jobless
Mwamba Mshana Jr unaitwa huku .
Utasema huwezi fika huko mara unanogewa,utataka uende mbinguni eti kwa namna ya kiroho.Mkuu siwezi fika huko najua limit natamna namna ya kujilinda kiroho zaidi maana kuna mengi napitia
Natafuta yale ya upande wa nuruni(Mungu) sema bible mafumbo ni mengi sana hadi basiBe specific. Unataka kujua masuala ya kiroho ya upande gani? Maana mambo ya kiroho yapo aina mbili tu. Mambo ya kiroho ya upande wa Mungu na ya upande wa shetani. Nakushauri tafuta mambo ya kiroho ya Mungu aliyehai ambayo yanapatikana kwenye Biblia. Ukianza kutafuta ya upande wa giza utapatablakini matokeo yake ni mauti.