Naombeni msaada wa kutumia miracle eagle eye ver 2.27A box

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,676
2,556
Nimejaribu kutumia miracle eagle eye ver 2.27A box ,lakini naconnet sim sioni kazi yake sioni ikifanyika nimefuata sana njia zote za KWA KUWATCH VIDEO YOUTUBE ILI NIWEZE KUFANIKISHA ZOEZI IMESHINDIKA NAOMBENI MAELEKEZO
IMG_20170421_182600.jpg
 
Back
Top Bottom