Baba Jadecah
Member
- Apr 17, 2019
- 37
- 22
Habarini wataalamu,
Jana kuna settings nilikuwa nafanya kwenye BIOS, nadhani hapo ndipo tatizo lilipotokea, maana niliporudi huku kwenye desktop, WI-FI ikapotea kabisa. Naombeni msaada au maelezo ya kina nirudishe HOTSPOT. Napenda zaidi kutumia wireless kutoka kwenye simu.
Asanteni