Aaah poa kakaMkuu bam na S na o level F
Tanzania ni nchi ya ajabu kidogo. Nadhani elimu yetu haitusaidii hata kidogo. Huyu ni mhitimu wa A level anaomba aambiwa akasome nini chuo kikuu! Du, ni ajabu sana! Kama hujui uchague kusoma nini basi hufai kwenda chuo kikuu.Kama nilivyo jieleza hapo juu .mm nmemaliza six mwaka huu kwa comb ya CBG kwa ufaulu wa Div 3 ambapo nina E ya chem pamoja na D mbili za geo na bioc
Sasa wa naombeni msaada za koz zeny tija za kuapply UDOM na UDSM.SUA
Mkwawa naomba nikuase kitu kimoja ambacho huwa mnadanganyana sana mitaani.Kusomea ualimu degree sio guarantee ya wewe kuwa mwalimu per se.Huwezi taka vitu vikubwa kama pass zako haziruhusu.Mimi mwenyewe nina degree ya ualimu nimemaliza miaka26 iliyopita lakini sijawahi kuwa mwalimu.Mkuu wetu wa nchi naye ana taaluma ya ualim wa hesabu na kemia na ameshawahi kuwa mkemia mahali flani,waziri wetu wa elimu taaluma yake ni ualimu kwenye hesabu na kemia.Take care msidanganyane mitaani kuwa ukisomea ualimu ndio mwisho wa maneno afterall uzuri wa ualimu mfano wewe wa CBG unaweza pata kazi ingine kwa kutumia hiyo kemia yako.Kuwa mwangalifu usije kaa sana nyumbani kisa unasema ualimu hapana.Kumbuka ualimu ngazi ya degree sio sawa na ualimu ngazi ya diploma au cheti.Aliyesomea shahada ya sayansi chuo kikuu wanaita bachelor of science general na aliyesomea shahada ya sayansi with Education wote ni kitu kimoja tu.Tofauti yao tu ni kuwa wa ualimu ana taaluma wa general hana taaluma yeyote..Using'ang'anie kisicho riziki.Kwa vigezo vya waliomaliza form six mwaka jana medicine wala pharmacy huwezi pata sababu huna fizikia kwenye mchepuo wako.Udom huwezi pata maana umepata daraja la tatu ila diploma unaweza kupata.Combi yako uko befit sana kuingia sokoine ila kikwazo kwako ni hiyo division uliyopata ambayo hujafeli wala hujafaulu sana inavyotakiwa.Take my word my sonNajua mkubwa ila ualimu hapana
Asante mkuu nmekuelewaMkwawa naomba nikuase kitu kimoja ambacho huwa mnadanganyana sana mitaani.Kusomea ualimu degree sio guarantee ya wewe kuwa mwalimu per se.Huwezi taka vitu vikubwa kama pass zako haziruhusu.Mimi mwenyewe nina degree ya ualimu nimemaliza miaka26 iliyopita lakini sijawahi kuwa mwalimu.Mkuu wetu wa nchi naye ana taaluma ya ualim wa hesabu na kemia na ameshawahi kuwa mkemia mahali flani,waziri wetu wa elimu taaluma yake ni ualimu kwenye hesabu na kemia.Take care msidanganyane mitaani kuwa ukisomea ualimu ndio mwisho wa maneno afterall uzuri wa ualimu mfano wewe wa CBG unaweza pata kazi ingine kwa kutumia hiyo kemia yako.Kuwa mwangalifu usije kaa sana nyumbani kisa unasema ualimu hapana.Kumbuka ualimu ngazi ya degree sio sawa na ualimu ngazi ya diploma au cheti.Aliyesomea shahada ya sayansi chuo kikuu wanaita bachelor of science general na aliyesomea shahada ya sayansi with Education wote ni kitu kimoja tu.Tofauti yao tu ni kuwa wa ualimu ana taaluma wa general hana taaluma yeyote..Using'ang'anie kisicho riziki.Kwa vigezo vya waliomaliza form six mwaka jana medicine wala pharmacy huwezi pata sababu huna fizikia kwenye mchepuo wako.Udom huwezi pata maana umepata daraja la tatu ila diploma unaweza kupata.Combi yako uko befit sana kuingia sokoine ila kikwazo kwako ni hiyo division uliyopata ambayo hujafeli wala hujafaulu sana inavyotakiwa.Take my word my son
Kama nilivyo jieleza hapo juu .mm nmemaliza six mwaka huu kwa comb ya CBG kwa ufaulu wa Div 3 ambapo nina E ya chem pamoja na D mbili za geo na bioc
Sasa wa naombeni msaada za koz zeny tija za kuapply UDOM na UDSM.SUA
apply udom koz moja inaitwa Health information systems (HIS)ipo college of informatics and virtual education Ni nzuri
PHARMACY GANII BILA PHYSICS...!?? UNAOTAA AUKWA pass zako digrii inayokufaa na unayoweza pata kirahisi ni PHARMACY na Digrii ya EDUCATION
Mkuu ushauri uliompa kama haumwingii akae Na ujinga wakeMkwawa naomba nikuase kitu kimoja ambacho huwa mnadanganyana sana mitaani.Kusomea ualimu degree sio guarantee ya wewe kuwa mwalimu per se.Huwezi taka vitu vikubwa kama pass zako haziruhusu.Mimi mwenyewe nina degree ya ualimu nimemaliza miaka26 iliyopita lakini sijawahi kuwa mwalimu.Mkuu wetu wa nchi naye ana taaluma ya ualim wa hesabu na kemia na ameshawahi kuwa mkemia mahali flani,waziri wetu wa elimu taaluma yake ni ualimu kwenye hesabu na kemia.Take care msidanganyane mitaani kuwa ukisomea ualimu ndio mwisho wa maneno afterall uzuri wa ualimu mfano wewe wa CBG unaweza pata kazi ingine kwa kutumia hiyo kemia yako.Kuwa mwangalifu usije kaa sana nyumbani kisa unasema ualimu hapana.Kumbuka ualimu ngazi ya degree sio sawa na ualimu ngazi ya diploma au cheti.Aliyesomea shahada ya sayansi chuo kikuu wanaita bachelor of science general na aliyesomea shahada ya sayansi with Education wote ni kitu kimoja tu.Tofauti yao tu ni kuwa wa ualimu ana taaluma wa general hana taaluma yeyote..Using'ang'anie kisicho riziki.Kwa vigezo vya waliomaliza form six mwaka jana medicine wala pharmacy huwezi pata sababu huna fizikia kwenye mchepuo wako.Udom huwezi pata maana umepata daraja la tatu ila diploma unaweza kupata.Combi yako uko befit sana kuingia sokoine ila kikwazo kwako ni hiyo division uliyopata ambayo hujafeli wala hujafaulu sana inavyotakiwa.Take my word my son
Atazurura kuuza bima mitaani kwa commission hadi akome akasome ualimu ajira private ziko nyingi Na serikalini piaOmba pia ifm bachelor za social protection,insurance n.k
Sio vyuo vyote vinataka physics A level vingine vinataka pass physics O levelPHARMACY GANII BILA PHYSICS...!?? UNAOTAA AU
QS Bila kufaulu mathematics A level hapatiOmba chuo cha ardhi course ya qs or land valuation
Usikurupuke mkuu! Huyu alikuwa Na malengo yake lakini matokeo yamemuangusha ndiyo maana anaomba ushauri. Umeona yeyote mwenye division 1 akiomba ushauri humu???Tanzania ni nchi ya ajabu kidogo. Nadhani elimu yetu haitusaidii hata kidogo. Huyu ni mhitimu wa A level anaomba aambiwa akasome nini chuo kikuu! Du, ni ajabu sana! Kama hujui uchague kusoma nini basi hufai kwenda chuo kikuu.
Sijakurupuka hata kidogo. Wewe ndiyo umekurupuka! Ni Tanzania pekee ambayo ina wahitimu wa Advanced Level wajinga ambao hawajui wakasome nini chuo kikuu. Eti naomba ushuri wa ''kozi zenye tija'' nikasome nini chuo kikuu! Wewe unaona kila kitu ni sawa kwa mtu anayeomba ushauri kama huu?Usikurupuke mkuu! Huyu alikuwa Na malengo yake lakini matokeo yamemuangusha ndiyo maana anaomba ushauri. Umeona yeyote mwenye division 1 akiomba ushauri humu???
Sio vyuo vyote vinataka physics A level vingine vinataka pass physics O level