Naombeni msaada wa Kisheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada wa Kisheria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MGOGOHALISI, Nov 17, 2011.

 1. MGOGOHALISI

  MGOGOHALISI JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 353
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi mtu akitumia chombo cha habari kutangaza au kuandika habari ambayo baadae mahakamani mtu huyu anakiri kuwa hana uhakika na alichoandika/kutangaza anachukuliwa hatua gani kwa mujibu wa sheria?
   
 2. m

  moshingi JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kutumia sheria ya madhara "Law of tort" unatakiwa ufungue shauri la madai mahakamani, lakini lazima uweze kuthibitisha madhara uliyoyapata kutokana na habari iliyotangazwa, pia uthibitishe kuwa mtoa habari husika alikuwa na lengo la kufanya udharaulike mbele ya jamii na kwamba habari hiyo haina ukweli wowote. waweza kukishitaki chombo cha habari pamoja na mwandishi/mtangazaji wa habari hiyo. Mahakama ikiridhika waweza kulipwa fidia kulingana na madhara uliyoyapata na umaarufu/heshima uliyonayo.
  Hili laweza kuwa somo hata kwa sisi tuliomo humu jamvini tujiepushe na kashfa au uzushi kwani teknolojia ikitumika utajulikana hata kama umeficha ID yako.
   
Loading...